Beyonce, kumbuka umezaliwa na watu kama wewe na hii dunia umeikuta

Beyonce, kumbuka umezaliwa na watu kama wewe na hii dunia umeikuta

Kwahiyo siku akivaa yale mavazi yake ya nusu uchi hao wafuasi wake hua hawaoni aibu mungu wao kukaa uchi?

Ina maana siku akifa na dini yake nayo ndio itakufa?

Siku akipigwa na mume wake ambaye ni Jay zee wafuasi wake watakubali kweli mungu wao kupigwa?

Ahahahahaa! teh! teh!
Hahaha...hata hayo yakitokea kwa Mungu-mtu Beyonce haitakuwa ni jambo jipya,yeye hatokuwa wa kwanza maana yalishawahi kutokea.
 
1108FCF7-1434-4C1E-BFE1-8D34AC764CFD.jpeg
 
Beyonce akifa leo kwa mfano hao wafuasi wake watamuabudu nani?
 
Madhabuhuni watakua Jay z,na wanawe wakiimba kwa shangwe
 
Beyoncé hana shida yeyote kwanza huyu angalau kanisa katumia hela zake kulinunua hawa wa huku kwetu wanawadanganya na mnachanga hela kumtunza yeye ,familia na kujenga kanisa.Wajinga ndio waliwao hongera BEYONCE
 
Yani MTU humfahamu,akujui unamuona tu kwenye luninga anakuumiza kichwa kwa kauli yake!!....
 
Ndugu Unajua maana ya Kuabudiwa Au Kusujudiwa??
Haina uhusiano na kuanzisha Kanisa.
Punguza nguvu.. Akili itakusaidia zaidi.
Wewe unaamini vitabu vya kikristu na kiislamu? Unazani wachina hawana wanachoabudu? Wahindu Je? Wajapan? Tuache kujifunga kifikra tuhoji hizo dini mbili zinashindana kutawala dunia hazina kingine
 
Wewe unaamini vitabu vya kikristu na kiislamu? Unazani wachina hawana wanachoabudu? Wahindu Je? Wajapan? Tuache kujifunga kifikra tuhoji hizo dini mbili zinashindana kutawala dunia hazina kingine
Aliyekwambia dhambi ipo Afrika tu CHINA hakuna ni nani??!
Kuna MUNGU na MIUNGU.. Take care bro.
 
Sooon atapotea tuu
Inasikiitisha. Hatuombei hilo kwani anao muda wa kurekebisha akipata mtu wa kumsaidia na kumwonya.Mwanamuziki mmoja huko huko alifariki dunia baada tu ya kuigiza sinema moja kama malkia wa Shetani. Aliitwa A****H.
 
Back
Top Bottom