Beyonce, kumbuka umezaliwa na watu kama wewe na hii dunia umeikuta

Hahaha...hata hayo yakitokea kwa Mungu-mtu Beyonce haitakuwa ni jambo jipya,yeye hatokuwa wa kwanza maana yalishawahi kutokea.
 
Beyonce akifa leo kwa mfano hao wafuasi wake watamuabudu nani?
 
Madhabuhuni watakua Jay z,na wanawe wakiimba kwa shangwe
 
Beyoncé hana shida yeyote kwanza huyu angalau kanisa katumia hela zake kulinunua hawa wa huku kwetu wanawadanganya na mnachanga hela kumtunza yeye ,familia na kujenga kanisa.Wajinga ndio waliwao hongera BEYONCE
 
Yani MTU humfahamu,akujui unamuona tu kwenye luninga anakuumiza kichwa kwa kauli yake!!....
 
Ndugu Unajua maana ya Kuabudiwa Au Kusujudiwa??
Haina uhusiano na kuanzisha Kanisa.
Punguza nguvu.. Akili itakusaidia zaidi.
Wewe unaamini vitabu vya kikristu na kiislamu? Unazani wachina hawana wanachoabudu? Wahindu Je? Wajapan? Tuache kujifunga kifikra tuhoji hizo dini mbili zinashindana kutawala dunia hazina kingine
 
Hivi beyence hakati gogo.....

Ova
 
Wewe unaamini vitabu vya kikristu na kiislamu? Unazani wachina hawana wanachoabudu? Wahindu Je? Wajapan? Tuache kujifunga kifikra tuhoji hizo dini mbili zinashindana kutawala dunia hazina kingine
Aliyekwambia dhambi ipo Afrika tu CHINA hakuna ni nani??!
Kuna MUNGU na MIUNGU.. Take care bro.
 
Sooon atapotea tuu
Inasikiitisha. Hatuombei hilo kwani anao muda wa kurekebisha akipata mtu wa kumsaidia na kumwonya.Mwanamuziki mmoja huko huko alifariki dunia baada tu ya kuigiza sinema moja kama malkia wa Shetani. Aliitwa A****H.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…