Beyonce na Jay z wanatarajia watoto mapacha

Beyonce na Jay z wanatarajia watoto mapacha

Good for the Carters. Maybe the twins will fix whatever is up with Blue, cos she always got attitude or just pissed about something.
bwanaaa...eeehh!ongea kiswahilii[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ...

utafikiri umenisomesha weweee....[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Si kila siku nakuita nikusomeshe, ila unaringa.
 
jay z analifaidi hili toto jamani!mwehh!!
 
Beyoncé just made a major announcement!
View attachment 466332
Here it is: Beyoncé is pregnant … with twins!

The singer delivered the news on Instagram with a stunning photo of herself with her hands on her baby bump, kneeling in front of a wreath of flowers with a long green veil over her head.

“We would like to share our love and happiness. We have been blessed two times over,” she wrote. “We are incredibly grateful that our family will be growing by two, and we thank you for your well wishes.”

She signed the post, “The Carters.”

Beyoncé and her husband, Jay Z, currently have a 5-year-old daughter, Blue Ivy. Congrats to them both on pregnancy!

Sasa tufanyeje kama yeye mjauzito....tumnunulie pipi au tumpe pole wakati hatujuwi?
 
Ndo rol modo wang hawa

Mungu awabark bdo kidot
Wang na yy aniletee kama beyonce
 
Hata siku haijaisha....umetisha sana mkuu....

View attachment 466481

View attachment 466482
Hawa ndo ma role model wa mabinti zetu wengi wa kisasa pamoja na akina minaj kina rihanna na kina wema,tuna hasara kwelikweli,hivi mie kabisa mwanaume niruhusu mai waifu wangu apigwe picha kama hizi na zisambazwe mtandaoni,mautamu yangu yaonwe na kila mtu khaa,tena bora basi wangekuwa wana njaa kama akina gigy money,hela wanayo yakusaza lakini bado tu.mara nyengine zile theory ya kuwa hawa maceleb wanatumiwa kufurther aina flani ya ajenda za wakubwa huwa zina make sense,manake wao ndo mapromota na waanzilishi wa trend nyingi za ajabuajabu.Hii ya picha za uchi za wajawazito naona inagain traction,haya wacha tuone 2017 wametuandalia nini
 
Beyonce amepost kwenye account yake ya Instagram na kuthibitisha kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha

Huyu mwanamke ni wa mfano wa kuigwa i wish wasanii wa kibongo wangekuwa na akili kama za kwake

e4eb9579e95fe7d8c3330c1995e768c7.jpg
77c8f4c4baa37eafa855803851aa8c72.jpg
Mfano wa kuigwa kwa lipi hasa?
 
Nani aliyekwambia ufanye chochote!? Unajua maana ya forum hii ya JF!? Kama huna la maana la kuandika pita kimya kimya.

Sasa tufanyeje kama yeye mjauzito....tumnunulie pipi au tumpe pole wakati hatujuwi?
 
Halafu kuna watu walitaka kunisingizia eti hio mimba muhusika ni mimi.
Waswahili bana.

ingekuwa ya kwako sijui ungefanyaje kwenda usa kumchek mama na watoto kwa ile marufuku ya trump.
 
Beyonce amepost kwenye account yake ya Instagram na kuthibitisha kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha

Huyu mwanamke ni wa mfano wa kuigwa i wish wasanii wa kibongo wangekuwa na akili kama za kwake

e4eb9579e95fe7d8c3330c1995e768c7.jpg
77c8f4c4baa37eafa855803851aa8c72.jpg
Anajua nini anafanya sio kina Wolper mavipodzi
 
Acha ujinga wewe nani alikwambia unamjua? ulifungua huu uzi wa nini na wakati humjui huyu mtu?

Nilifikiri ni kitu cha maana ndiyo maana nilifungua. Niliona hilo jina nikawa curious. Vipi mbona unatokwa na povu? Pole though.
 
Wewe ndiye unayetokwa na povu. Baada ya kugundua si kitu cha maana kwanini hukupita kimya !?

Acha ujuha wako hadharani humu kuna wanachama zaidi ya laki tatu ukifungua uzi na kugundua hauna maana kwako pita kimya badala ya kuanza kutokwa na povu zito.

Hii forum si ya kukufurahisha wewe kwa namna yoyote ile ukiona uzi haukuhusu usitokwe na povu achana nao wale wanataka kuchangia watafanya hivyo. Nani aliyekwambia nahitaji pole yako!? Acha kujibaraguza!

Nilifikiri ni kitu cha maana ndiyo maana nilifungua. Niliona hilo jina nikawa curious. Vipi mbona unatokwa na povu? Pole though.
 
Back
Top Bottom