bwanaaa...eeehh!ongea kiswahilii[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ...Good for the Carters. Maybe the twins will fix whatever is up with Blue, cos she always got attitude or just pissed about something.
bwanaaa...eeehh!ongea kiswahilii[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ...
utafikiri umenisomesha weweee....[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
uzee huu nsome nn?Si kila siku nakuita nikusomeshe, ila unaringa.
uzee huu nsome nn?
[emoji57] [emoji57] [emoji57] kunsomeshaje kati kichwa kimezeekaSijasema usome, bali nikusomeshe. Maza house unakuwa kama msukuma bana.
Beyoncé just made a major announcement!
View attachment 466332
Here it is: Beyoncé is pregnant … with twins!
The singer delivered the news on Instagram with a stunning photo of herself with her hands on her baby bump, kneeling in front of a wreath of flowers with a long green veil over her head.
“We would like to share our love and happiness. We have been blessed two times over,” she wrote. “We are incredibly grateful that our family will be growing by two, and we thank you for your well wishes.”
She signed the post, “The Carters.”
Beyoncé and her husband, Jay Z, currently have a 5-year-old daughter, Blue Ivy. Congrats to them both on pregnancy!
Hawa ndo ma role model wa mabinti zetu wengi wa kisasa pamoja na akina minaj kina rihanna na kina wema,tuna hasara kwelikweli,hivi mie kabisa mwanaume niruhusu mai waifu wangu apigwe picha kama hizi na zisambazwe mtandaoni,mautamu yangu yaonwe na kila mtu khaa,tena bora basi wangekuwa wana njaa kama akina gigy money,hela wanayo yakusaza lakini bado tu.mara nyengine zile theory ya kuwa hawa maceleb wanatumiwa kufurther aina flani ya ajenda za wakubwa huwa zina make sense,manake wao ndo mapromota na waanzilishi wa trend nyingi za ajabuajabu.Hii ya picha za uchi za wajawazito naona inagain traction,haya wacha tuone 2017 wametuandalia nini
Mfano wa kuigwa kwa lipi hasa?Beyonce amepost kwenye account yake ya Instagram na kuthibitisha kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha
Huyu mwanamke ni wa mfano wa kuigwa i wish wasanii wa kibongo wangekuwa na akili kama za kwake
Mbona umepanicMfano wa kuigwa kwa lipi hasa?
Nani aliyekwambia ufanye chochote!? Unajua maana ya forum hii ya JF!? Kama huna la maana la kuandika pita kimya kimya.
Halafu kuna watu walitaka kunisingizia eti hio mimba muhusika ni mimi.
Waswahili bana.
Anajua nini anafanya sio kina Wolper mavipodziBeyonce amepost kwenye account yake ya Instagram na kuthibitisha kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha
Huyu mwanamke ni wa mfano wa kuigwa i wish wasanii wa kibongo wangekuwa na akili kama za kwake
Acha ujinga wewe nani alikwambia unamjua? ulifungua huu uzi wa nini na wakati humjui huyu mtu?
Nilifikiri ni kitu cha maana ndiyo maana nilifungua. Niliona hilo jina nikawa curious. Vipi mbona unatokwa na povu? Pole though.