Beyonce na Jay Z watengeneza kiasi cha Bilioni 375 kwa kuwadanganya Mashabiki zao

Can people tell the difference between artistic expression and autobiographical narratives?

When Beyoncé was singing "You must not know about me, don't you think that you are irreplaceble" was she singing about Jay-Z ?

Exactly what I've been thinking all along.

That..what if it's just art?
 
Mada/ andiko langu liko nje kidogo, huwa najiuliza, kwa nini weusi wa marekani kwenye ishu za academics huwa hawapo. Vitu vingi vimegunduliwa USA, lakini all are whites. Kwenye usanii, blacks are leading, why?
 
Uongo gani huu? kwani public figures ndo hawakosani!
 
Wasanii ni wasanii tu, probably wame-reconcile issues wanatuzuga ilikuwa kick.

Ila nadhani issue za mahusiano ya Jay Z zimekuwa zikisemwa long before Album hii.

BTW, maisha ya wapenzi wakiwa ndani kwao ni real, wakitoka nje ni sanaa.
 
mkuu, mimi nimependa tu hiyo signature yako kaka "JF. Where common sense changed to great thinking"
 
Ni uongo mkubwa sana ulioleta you are not the only one following bey's news!! Yes her album is successful but she has not selled such amount of money!! By the way what's you are source??
 
Ni uongo mkubwa sana ulioleta you are not the only one following bey's news!! Yes her album is successful but she has not selled such amount of money!! By the way what's you are source??
Kweli kimekuja kwa mashua ngoja nkatandike zangu ulanzi na mie nije ku comment kwa kingleza
 
The power of art! Baada ya Sorry (Lemonade) bomb hakuna ambacho kilitawala kwenye entertainment news za US hadi Twitter zaidi ya "ni nani Becky with the good hair!" huku baadhi ya media zikitaja who'd exactly be Becky of the good hair huku ramli nyingi zikimtaja Rachel Roy!!

Lakini ukiisikiliza ngoma vizuri, ingawaje ni fully adult stuff, hutachelewa kufahamu it's just ordinary powerful song inayowakilisha kilio cha wanawake wengi!! Hili la kuzungumzia wanawake ndo real Beyonce hata kama anaonekana sana kusimamia for black women... no wonder pia ametumia jina Becky ambalo kwa US is more for White women.

Kwa wanaofuatilia Empire nadhani wanakumbuka Hakeem alivyomchana "black" Becky kwa kumuuliza wewe ni black wa wapi unayeitwa Becky!!

"Looking at my watch, he'd been home
"Today I regret the night I put that ring on
"He always got them fu'cking excuses (Sorry)
"He only want me when I'm not there
"He better call Becky with the good hair(Sorry)
"My dad warned me about men like you
"He said, Baby Girl is playing you

So, on my view, Beyonce and Jay Z deceived no one... ni mashabiki wenyewe ndio walio - opt kuwa deceived!! Hata mimi mwenyewe niliitafuta Lemonade just to search for Becky of the good hair!!

But all in all don't forget: Jay Z & Beyonce is the best couple that knows the business of music industry!
 
Ma nigga nini shida...mada ya Kiswahili..uchangiaji kizungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…