Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Basi wabongo nao tutawakoma sasa na kik nnya
Breaking News: Wema Sepetu ana mimba ya Ali Kiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wabongo nao tutawakoma sasa na kik nnya
Can people tell the difference between artistic expression and autobiographical narratives?Stroke of genius....but then again maybe not.
Can people tell the difference between artistic expression and autobiographical narratives?
When Beyoncé was singing "You must not know about me, don't you think that you are irreplaceble" was she singing about Jay-Z ?
Ha ha ha mnyaturu live anapotea kwenye vichwa vya habariBreaking News: Wema Sepetu ana mimba ya Ali Kiba
Yeah....upo ryt i bet linalosemw now ndio uongo sasa
Aren't they?Some are unaware how much money these 2 say no to regularly. If they were that money hungry, they'd be billionaires by now.
Mada/ andiko langu liko nje kidogo, huwa najiuliza, kwa nini weusi wa marekani kwenye ishu za academics huwa hawapo. Vitu vingi vimegunduliwa USA, lakini all are whites. Kwenye usanii, blacks are leading, why?![]()
Beyonce na Jay Z waliamua kufanya uamuzi wa pamoja wa kuzusha tetesi za kuachana kwa lengo la kutengeneza pesa.
Uamuzi huo ulihusisha kuuza kopi nyingi za Album mpya ya Beyonce #Lemonide yenye nyimbo ambazo zinaeleza jinsi gani Jay Z amekuwa si muaminifu kwenye Ndoa yao.
Inasemekana kuwa wawili hao hawana mkwaruzano wowote ule ila lengo lilikuwa ni kuuza kopi nyingi za Album hiyo mpya.
Pia inasemekana kuwa Jay Z alihusika/alihusishwa kwenye kila Lyrics za kila nyimbo kwenye hiyo Album, na yeye pia ndiye aliyekuwa akitoa idhini ya kila nyimbo kujumuishwa kwenye Album.
Hivyo basi hata kabla ya Album kuwa released wote walikuwa wanajua lengo la album hiyo.
Mauzo ya Kopi ya Album hiyo inayoitwa Lemonide yamefikia kiasi cha £150 Millioni ambazo ni sawa na pesa za Madafu ya Bongo Kiasi cha Bilioni 357.
Aren't they?
mkuu, mimi nimependa tu hiyo signature yako kaka "JF. Where common sense changed to great thinking"Hov alikuwa anajua kinachozungumziwa kwenye album yes, ila hili la kupanga ili kupiga hela no. Unlike Diddy, Hov has principles on how he gets his bread, and there are some lows he can't go.
Besides, Hov and Bey's trouble in the paradise talks been surfacing for a minute now, before that album.
mkuu, mimi nimependa tu hiyo signature yako kaka "JF. Where common sense changed to great thinking"
Kwao dhambi ni kawaidaUongo wa aina yoyote ile ni dhambi. Na huku nao wanaiga eti kala mnenguajiii. Inawezekana nao wanakaribia kupakua wimbo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Breaking News: Wema Sepetu ana mimba ya Ali Kiba
Kweli kimekuja kwa mashua ngoja nkatandike zangu ulanzi na mie nije ku comment kwa kinglezaNi uongo mkubwa sana ulioleta you are not the only one following bey's news!! Yes her album is successful but she has not selled such amount of money!! By the way what's you are source??
Ma nigga nini shida...mada ya Kiswahili..uchangiaji kizungu!Hov alikuwa anajua kinachozungumziwa kwenye album yes, ila hili la kupanga ili kupiga hela no. Unlike Diddy, Hov has principles on how he gets his bread, and there are some lows he can't go.
Besides, Hov and Bey's trouble in the paradise talks been surfacing for a minute now, before that album.