Beyonce na Jay Z watengeneza kiasi cha Bilioni 375 kwa kuwadanganya Mashabiki zao

Beyonce na Jay Z watengeneza kiasi cha Bilioni 375 kwa kuwadanganya Mashabiki zao

Wenzetu wako kazini,huwezi kulinganisha ulimwengu wa 1...na ulimwengu 3...sisi tuko gizani,hakuna tuanacho kijua zaidi ya kuiga kila kitu kutoka ulimwengu wa 1.
 
What..? Billionaires? They could be. Just different sources placing them at different figures, just around the mark. So they aren't, 'til proven so.
I thnk they aren't open enough and may be they jus want us to keep guessing how much they are rolling on,..though i thought they are billionaires!
 
I thnk they aren't open enough and may be they jus want us to keep guessing how much they are rolling on,..though i thought they are billionaires!

Either way, they got more than enough to sell off some cheap bs like the one suggested here.
 
U kil t.. ..kuna watu wanapesa kinoma

Kuna birthdy moja ya Hov Bey alimnunulia gari sawa na bajeti ya wizara
Hapa naweza nikakupinga waziwazi kabisa aiseee....utajiri wa Jay Z woooooooote ndio sawa na budget ya wizara moja kwenye trillion moja point kadhaa, sasa ndugu yangu Beyonce huo utajiri wa kununua gari la trillion katoa wapi?! Search the richest female musicians nadhani jina la Adele linamtangulia Beyonce kwani Adele utajiri wake unacheza bilioni mia mbili hamsini....sasa hiyo zawadi ya budget ya wizara naomba uitaje hapa....P.Diddy mwenyewe anayeongoza list ya wanamuziki matajiri ana utajiri wa trillion moja na nusu hela ya kibongo
 
Bilion mia tatu? Hii hela ni sawa na lile dili la Escro! Yaani Album moja tu wanauwezo wa kununua mali zote za Diamond na Zari kama haitoshi wakamnunua Diamond akaenda kuwa shamba boy wa Jay z na Beyonce na Zari akawa house girl wao!
Ahahahhahahahahha mbavu zangu[emoji23]
 
Bilion mia tatu? Hii hela ni sawa na lile dili la Escro! Yaani Album moja tu wanauwezo wa kununua mali zote za Diamond na Zari kama haitoshi wakamnunua Diamond akaenda kuwa shamba boy wa Jay z na Beyonce na Zari akawa house girl wao!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] chizi wewe....kali ...mbavu zangu
 
Back
Top Bottom