Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bona hawapendi hao viumbe,kama anawapenda asingewaza masuala ya kupendeza,ya anaona hali yake ilivo halafu anataka apendeze..Bora sie tunaovaaga madera hatuwazi kupedeza zaid ya usalama wa kile kilichopo tumboni.
Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
Hiyo ndo thamani ya kuwa mama, vumilia bey....
Anachofeel Beyonce nishawahi kujisikia pia yani tumbo likiwa kubwa unajiona wa ajabu teh unavaa na kuvua, kila nguo unajiona kituko.......Ila amekuwa mkubwa aisee! Duh! Kama kaongezeka Bey mwingine sasa wamekuwa wawili lakini kwenye mwili mmoja! Kuna tetesi wote ni njemba. Nadhani yeye na Jayz watafurahia sana hata wakimpata njemba mmoja.
Anachofeel Beyonce nishawahi kujisikia pia yani tumbo likiwa kubwa unajiona wa ajabu teh unavaa na kuvua, kila nguo unajiona kituko....
Amebadilika sana, cha ajabu akijifungua atakua kama kibinti cha 18 sijui wengine wanawezaje jamani I wish.. I wish.... I wish.....
Hahaha eti Kingdom plantaehata kama sio mimba Bey!
KWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEELI NDO ULIONA UWEKE HIYO NINI SIJUI KICHWANI?
HATA MI NGEKUSHANGAA!
sa ulitegemea wakufanyaje mtu umeweka Kingdom Plantae kichwani!
Huwa napenda sana kuona mtu kajifungua na ana maintain mwili wakeHawa huwa wanajifua sana ES huingia gym asubuhi na jioni na watu maalum wa mazoezi na kuwa kwenye special diet baada ya wiki sita unamuona kishapoteza pounds chungu nzima. Na wengine wana bahati huwa hawaongezeki sana uzito ila hii mimba ya safari hii Bey kawa mkubwa sana sidhani bila miezi mitatu ya gym na special diet anaweza kutia mwilini nguo zake za zamani na zikapita.