Beyonce vs. Rihana

Safina

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2009
Posts
497
Reaction score
64
Habari wanajamii.

Naombeni kuuliza hivi, kati ya Beyonce na Rihana nani mwenye mvuto wa kimahaba? Nilikuta watu wanabishana nani mkare na mimi nimeona niwashirikishe.
 
Wote, lakini kila mtu ana mambo yake, rihana anaonekana ana mashamushamu sana mkiwa gheto, beyonce namuona kama yupo kisista duu zaidi, huwa wanaboa mkiwa kwenye malavidavi.

Nadhani umenisemea mkuu... LOL
 
Rihanna hajui kutoa tiGO, Beyonce lazima atakuwa ana k*** tamu sana
 
Wote wakali,..na hasa kwa wapenzi wao,......
 
hapo mwenzangu mi nahis jay zee na criss b ndo wanajua vizuri hayo mambo.
 
hapo mwenzangu mi nahis jay zee na criss b ndo wanajua vizuri hayo mambo.

Ma'swagga, husiniangushe bana, sema tu wewe unavyowaona, hata nyie wanaume hamtajua mautamu yao, hila muonekano tu nani mkare.
 
Hapo ni JayZ tu ndo anaelewa,we unadhan kwnn alimsaliti beyonce kwa rihana,
 
Hapo ni JayZ tu ndo anaelewa,we unadhan kwnn alimsaliti beyonce kwa rihana,

Hawa waliokuwa wakibishana, walibishania hilo hilo kwamba kwa nini JZ alipinda kidogo wakati beyonce ni mkare. Haya jojobingo kwa mtazamo wako nani mkare?
 
Ma'swagga, husiniangushe bana, sema tu wewe unavyowaona, hata nyie wanaume hamtajua mautamu yao, hila muonekano tu nani mkare.

Hapo kwenye red pazingatiemi ni shost tu au aya maswaga ya kofia yamekuchanganyapoa basi isiwe taabu mkali ni rihanna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…