Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote, lakini kila mtu ana mambo yake, rihana anaonekana ana mashamushamu sana mkiwa gheto, beyonce namuona kama yupo kisista duu zaidi, huwa wanaboa mkiwa kwenye malavidavi.
Ma'swagga, husiniangushe bana, sema tu wewe unavyowaona, hata nyie wanaume hamtajua mautamu yao, hila muonekano tu nani mkare.