we jiulize wangapi wanazo
Nani amekwambia mwanaume akikukuta na bikra ndio atadumu na wewe?
Hahahahaaaaaaa heheheee! Ah JF for life! Hahaaa!Humu ndani ikipatikana hata moja, najitoa jukwaa la mambo ya kikubwa, serious tena.
hebu waeleze hao kama ingekuwa ndio anakuthamini kiasi hicho mbona Jay-Z mwenyewe alienda zaa na mwanamke mwingine wakati yuko nae,kwanza uzushi kuna kijamaa kilikuwa kinagonga kabla yake kikamtema.
Humu ndani ikipatikana hata moja, najitoa jukwaa la mambo ya kikubwa, serious tena.