Beyonce Was a Virgin Before Meeting Jay-Z

Nani amekwambia mwanaume akikukuta na bikra ndio atadumu na wewe?

hebu waeleze hao kama ingekuwa ndio anakuthamini kiasi hicho mbona Jay-Z mwenyewe alienda zaa na mwanamke mwingine wakati yuko nae,kwanza uzushi kuna kijamaa kilikuwa kinagonga kabla yake kikamtema.
 
Mambo yote CHUNGWA bwana, MACHENZA hayana lolote
 
Back
Top Bottom