Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
You're a true American Ooops!!! True Tanzanian 🙂🙂
una maanisha na wewe mama salma ndo role mode wako?
ah we niache bana!
mi nataka kumuandikia mama salma barua
embu niambie sababu basi labda nimekuelewa vibaya
NGOJA NA MI NIMUANDIKIE MAMA SALMA!
mwalimu mwenzangu mjue oh!
. Na mie namuandikia festi ledi wetu barua
Mtambuzi, baadhi wanaangalia mwandiko, lakini barua hii imebeba ujumbe mzito kuliko mwandiko wenyewe! Nilivyoisoma hiyo barua, Beyonce anamsifu Michelle kuwa pamoja na ukweli kwamba yeye ni first lady, lakini bado amebaki kama mama mwenye mapenzi ya dhati na anajinyenyekeza ndani ya familia bila kujali wadhifa alionao. Anaihudumia familia yake kana kwamba ni mke mwenye wadhifa wa kawaida. Ni funzo kwa viongozi wengine wenye nyadhifa kama hizo au zinazofanana na hizo!
Si jambo rahisi kwa viongozi wengi wa kike wa cheo chake ambao wamewahi kushuka na kutunza familia zao kwa kiwango alichokionyesha huyu mama. Nafikiri pia kwa muonekano hata mumewe ni mfano mzuri wa kumjali mkewe na ndiyo maana muda mwingi wanapotembea huonyesha mapenzi ya namna fulani. Kwa nje wanaonyesha ni mfano mzuri wa ndoa zenye furaha za kuigwa.
Nawatakia kheri wanandoa hao!
Hapa copy kwa: Kongosho, Nivea, charminglady, Mr Rocky, Eiyer, snowhite, SnowBall, neggirl
SalaamAnzeni kuandika hapa hizo barua kwa Mama Salma
Mimi naanza mstari wa kwanza:
Mpendwa Mama Salma
Ana mwandiko mzuriii...which means hata upstairs yupo njema...kweli hips don't lie
watu8 ukiwekwa wa kwako hapa naamini hata wa Doctor una afadhali
charminglady unajua nimekumiiss sana ujue watu8 yeye na mwandiko wapi na wapi wa kwake kama wa daktariNakuona tu mnavochokonoa daddy angu... Ujue alikuwa best student kwa mwandiko mzuri tangu la kindagateni mpaka yunivaziti!!!!! :smile-big:
charminglady unajua nimekumiiss sana ujue watu8 yeye na mwandiko wapi na wapi wa kwake kama wa daktari
Nicas Mtei alinipiga marufuku kuja mwanza eti nitakuona na nitakupenda bure wakati hajui kuwa tunapendana toka enzi hizoYaan mie sipati kusema.. make nikisema ntakuwa muongo.. Nshakumiss mpaka baaaaaaaaaas!!!!!!