Beyonce writes a letter thanking Michelle Obama for being a role model

Beyonce writes a letter thanking Michelle Obama for being a role model

Huyu anatafuta kujipendekeza, role model ni mtu umekuwa and has insipered you to who are, sasa huyu Mrs Obama kashika kazi Beyonce tayari ameshazoea kukaa nusu uchi stejini, sasa iko wapi hiyo impact. Na mpaka sasa sijaona anything i can relate with Mrs Obama except the skin color, maybe in another life!

Yeah she is good woman but that is suppose to do as First Lady....mere housewife but in a big picture
 
Americans, especially educated Americans of "good stock", are obsessed with thank you letters.

Unaenda kwenye ki-birthday cha mtoto mdogo tu, baada ya wiki moja au mbili unaandikiwa a "thank you" letter.

And Beyonce, even in her diss song, touts her presumably Christian middle class upbringing and values, never mind the oversexualized image that totally contradicts the same values.

So I am not surprised at all.

Both Michelle and Beyonce are overrated.
 
embu niambie sababu basi labda nimekuelewa vibaya

Beyonce anasifika kuwa na curvy hips...na kutokana na utafiti uliofanywa na baadhi ya wanasayansi huko US, wanawake wenye hips kubwa na za mviringo ni werevu kuliko wale wasio nazo...kwa mantiki hiyo kwa utani ndio maana nikafananisha uzuri wa mwandiko wake na uwepo wa curvy hips kwenye mwili wake...hence she might be good upstairs!!

Soma hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusia...aidi-kuliko-wasio-na-hips-12.html#post7097494
 
Mtambuzi, baadhi wanaangalia mwandiko, lakini barua hii imebeba ujumbe mzito kuliko mwandiko wenyewe! Nilivyoisoma hiyo barua, Beyonce anamsifu Michelle kuwa pamoja na ukweli kwamba yeye ni first lady, lakini bado amebaki kama mama mwenye mapenzi ya dhati na anajinyenyekeza ndani ya familia bila kujali wadhifa alionao. Anaihudumia familia yake kana kwamba ni mke mwenye wadhifa wa kawaida. Ni funzo kwa viongozi wengine wenye nyadhifa kama hizo au zinazofanana na hizo!

Si jambo rahisi kwa viongozi wengi wa kike wa cheo chake ambao wamewahi kushuka na kutunza familia zao kwa kiwango alichokionyesha huyu mama. Nafikiri pia kwa muonekano hata mumewe ni mfano mzuri wa kumjali mkewe na ndiyo maana muda mwingi wanapotembea huonyesha mapenzi ya namna fulani. Kwa nje wanaonyesha ni mfano mzuri wa ndoa zenye furaha za kuigwa.

Nawatakia kheri wanandoa hao!

Hapa copy kwa: Kongosho, Nivea, charminglady, Mr Rocky, Eiyer, snowhite, SnowBall, neggirl

Hapa kuna ujumbe maalum uwaendee hawa wanawake wetu maana wakipata ka kazi kadogo tu hawataki majukumu yao

Hovyo kabisa hawa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Anzeni kuandika hapa hizo barua kwa Mama Salma

Mimi naanza mstari wa kwanza:

Mpendwa Mama Salma
Salaam
Baada ya salaam utakapokujua hali yangu mimi ni mzima wa afya,hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu. BADILI TABIA endelea..............................
 
Last edited by a moderator:
beyonce-obamaconcert-read.jpg


Beyonce-MIchelle-Obama.jpg



Mwandiko mbaya
 
Ana mwandiko mzuriii...which means hata upstairs yupo njema...kweli hips don't lie

Nani yupo njema upstairs? Beyonce..? Usiseme hivyo mbele ya Wendy Williams coz she might slap the taste out your mouth.

 
Last edited by a moderator:
Beyonce ana mwandiko mzuri, signature yake pia ni kali sana tu, message yake pia imekaa vizuri.
 
Yaan mie sipati kusema.. make nikisema ntakuwa muongo.. Nshakumiss mpaka baaaaaaaaaas!!!!!!
Nicas Mtei alinipiga marufuku kuja mwanza eti nitakuona na nitakupenda bure wakati hajui kuwa tunapendana toka enzi hizo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom