Beyonce's sister(Solange) attacks Jay Z in the elevator

Huyo Solange ni kichaa.

Acha apigwe tu, we umeoa dada mtu kutwa kuzunguka na shemeji kwenye ma concert tu kwani ameoa hao mabinti wote wa knowles?? Kama ni kusaidia sawa we unazunguka na lijitu lizima wamuache na yeye atafute wake. Hizi mambo kazitaka Jay Z mwenyewe acha mkute
 
Nipeni muda nitakuja na uchambuzi yakinifu kuhusu hiyo video, mwanzo mpaka mwisho. Nimeitazama vizuri sana.
 
Ila mi mme wangu apigwe na dada yangu mbele yangu au hata kaka yangu wee naingiliaa hata kama kafanya kosa ganii banaa hapigwi mtu, ntamalizana nae mimii ndie alienioaaa,wengine hayawahusu
 
vitu vya kawaida na sishangazwi na Jay z kuuchuna maana katumia busara sana hasa ukizingatia tofauti ya umri kati ya shemeji yake na yeye.

Cheers Beyonce for staying cool, mtamaliza tofauti zenu mkiwa ndani ya "lijinyumba" lenu huko hakunaga hata paparazi wa kuwarekodi mwanawane.
 
Je! Mwanamke wa kweli aliekamilika na mwenye busara anaweza kumpiga mwanaume?

Sio busara lakin nyie wanaume mtakiwa kutudhibiti kama Jay z au huyo baunsa wake,,na kumbuka sisi ni dhaifu tu
 

hata beyonce naye alilinda heshima yake mbele ya that stupid girl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…