apply kama una vigezo. mwaka jana july walipita udsm na udom walikua wanataka graduates wa geology. kuapply online masaa 2 hivi. baada ya kuapply, wakatoa paper la online. kwenye email yako. walioqualify wakaitwa interview. sema alipita jamaa mmoja tu.
mwaka jana pia mwezi wa 10-11 hivi, walitoa vacancy hizo tena. sasa hivi wamegusa sectors kibao. kama yako ipo ungejaribu your lucky. sema nadhani deadline ni march, sikumbuki kama waliandika tarehe. unaweza jikuta upo nje ya ratiba mkuu.