BG graduate program- kwa tanzania

BG graduate program- kwa tanzania

alleyne

Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
12
Reaction score
2
wakuu naomba mnisaidie kwa wa nao ijua vizur hiyo graduate program au kama umesha apply noamba unisaidie kwa information
 
apply kama una vigezo. mwaka jana july walipita udsm na udom walikua wanataka graduates wa geology. kuapply online masaa 2 hivi. baada ya kuapply, wakatoa paper la online. kwenye email yako. walioqualify wakaitwa interview. sema alipita jamaa mmoja tu.

mwaka jana pia mwezi wa 10-11 hivi, walitoa vacancy hizo tena. sasa hivi wamegusa sectors kibao. kama yako ipo ungejaribu your lucky. sema nadhani deadline ni march, sikumbuki kama waliandika tarehe. unaweza jikuta upo nje ya ratiba mkuu.

ingia web yao bg group>>career>>graduate program>>apply now hapa: BG Group - Careers - Graduates - Apply now
 
wakuu naomba mnisaidie kwa wa nao ijua vizur hiyo graduate program au kama umesha apply noamba unisaidie kwa information
ingia kwenye tovuti yao,jaza fomu baadae watakupangia appointment ya kufanya online interview
 
Back
Top Bottom