Hii ndio reflaction ya wanawake wa kibongo......kupenda umaarufu kwa kugombea uume....most mashori bongo ndivyo walivyo......hata msijifanye kusikitika.....ndivyo mlivyo..
Hii ndio reflaction ya wanawake wa kibongo......kupenda umaarufu kwa kugombea uume....most mashori bongo ndivyo walivyo......hata msijifanye kusikitika.....ndivyo mlivyo..
Nakubaliana na wewe Ivuga na naamini wengi wanaotetea kitendo hiki ni wanawake wenzake ambao wanaona sio kitu kufanyiwa mambo kama aliyofanyiwa Bhoke.
Ngoja niwatafutieni picha ambayo washiriki wenzao wamewaweka Kitimoto Bhoke na Ernest kuwahoji kwanini wamefanya mapenzi mahala pale na kamera kuwanasa. Hii ilikuwa jumamosi usiku saa saba hivi na Bhoke alikuwa amelewa Chakari.
Jumapili usiku baada ya kuwa tayari ana fahamu zake Bhoke alikataa kulala kitanda kimoja na Ernest na ndipo Ernest akamuuliza kwanini J'mosi alimpa na sasa anakataa kulala naye tu, Bhoke akajibu jumamosi alimpa sababu ya pombe hakuwa yeye.
Sasa tuendelee kuwatetea dada zetu kwa amani lakini hana tofauti na wale wa Buguruni usiku au Sinza pale Afrika sana.
Ila anaonekana alikua na kiu kali sana aisee...
hivi kuna watu hawawezi kukaa wiki mbili bila kupata utamu eeeeh?
Umeshakuwa mtu mzima wewe....acha kujisifia ushababi wa ngono.....ona aibu
ok, nakutaka radhi bibieunavyosema hivyo unamaanisha nini?picha ya wanawake tz,plz tutake radhi wanawake wote tz including ur special mom,if u have nothng 2 say u beta kip quet.
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa, kipi hapo ni cha ajabu???
Hiyo program ni kwa ajili ya watu wenye miaka 18 au zaidi. Ni program inayohusu maisha ya watu under controlled environment, kwa maana kwamba hawaruhusiwi kutoka. Ni program ambayo wamesaini mikataba kufata masharti humo ndani wakiwa wanaishi maisha yao.
Ni program ambayo inahusu udadisi wa tabia za watu. And any one watching is somehow agreeing to being a voyeur, cause h/she watching a private life of some individuals. Kila unapo tune kwenye channel ya BBA unakuwa umedhamiria kuchungulia watu... i.e. unakubaili kuitwa mpiga chabo!!
Je, hayo mambo hayafanyiki majumbani mwa watu? Je, hayo mambo hayanyiki kwenye majumba ya starehe?
Nikweli:
Wangelifanya hayo ndani ya Bunge la vijana, tungelilalamika.
Wangelifanya hayo ndani ya nyumba ya ibada, tungelilalamika.
Wangelifanya hayo mashuleni na vyuoni, tungelilalamika.
A western invention on western appliance in western format under African morals... which is which????
Hii ni hatari aisee!!! Japo wanajidhalilisha lakini nadhani wanafanya hivyo ili kupata atention ya watazamaji!
Kwa hiyo uchangudoa kidogo ili uvute $$, na asipozipata ndio inakuwa yaleyale 'mtoto kukosa na maji umekandwa' ha ha ..Hapo kila mtu anajiachia ili angalau apate hizo $200,000
Kwa hiyo uchangudoa kidogo ili uvute $$, na asipozipata ndio inakuwa yaleyale 'mtoto kukosa na maji umekandwa' ha ha ..
Uda'a kwa taarifa yako Lotus amepiga kura ili mtanzania mwenzake atoke kwasababu wanachangia mwanaume mmoja na huyo Bhoke ndie aliyeingilia penzi la Lotus na Ernest kwahiyo Lotus kapiga kura ya chuki kwa mtanzania mwenzake.
Angalia link hii chini uone Lotus anamhoji Ernest baada ya kuwa amefanya mapenzi na Bhoke sasa achague moja kama ni huyo Bhoke ama ni yeye Lotus. Wengine tunaendelea kuteta kwamba huo ni mchezo, haya waacha dada zetu wachezewe ndo mchezo.
Big Brother Africa 6 » Lotus: Me or Bhoke?