Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa, kipi hapo ni cha ajabu???
Hiyo program ni kwa ajili ya watu wenye miaka 18 au zaidi. Ni program inayohusu maisha ya watu under controlled environment, kwa maana kwamba hawaruhusiwi kutoka. Ni program ambayo wamesaini mikataba kufata masharti humo ndani wakiwa wanaishi maisha yao.
Ni program ambayo inahusu udadisi wa tabia za watu. And any one watching is somehow agreeing to being a voyeur, cause h/she watching a private life of some individuals. Kila unapo tune kwenye channel ya BBA unakuwa umedhamiria kuchungulia watu... i.e. unakubaili kuitwa mpiga chabo!!
Je, hayo mambo hayafanyiki majumbani mwa watu? Je, hayo mambo hayanyiki kwenye majumba ya starehe?
Nikweli:
Wangelifanya hayo ndani ya Bunge la vijana, tungelilalamika.
Wangelifanya hayo ndani ya nyumba ya ibada, tungelilalamika.
Wangelifanya hayo mashuleni na vyuoni, tungelilalamika.
A western invention on western appliance in western format under African morals... which is which????