Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA


Steve Dii
Hapo kwenye RED pls
1. Unataka kutwambia kuwa mkataba waliosaini unasema kuwa watafanya ngono wakiwa ndani ya jumba?
2. Unataka kusema tabia halisi ya mwanamke wa kitanzania ni kupenda ngoo na kutokuweza kuwa mvumilivu kama Bhoke na Lotus? maana hao wawili ni wawakilishi wa maisha halisi ya mwanamke wa kitanzania!
3 Mambo yanayofanyika ndani ya majumba yetu ni kwa waliohalalishwa kuyafanya, kwa maana ya mke na mume waliooana. Je,Lotus na Bhoke wameenda na waume zao BBA?
4. Kama majibu ya maswali hayo ni sio, je unachokishabikia ni nini? Unaridhika na hayo wanayoyafanya bila kuona kama yanatia kinyaa kwa watanzania wote na wala sio wao peke yao kama washiriki??
 
jamani mnaofuatilia embu tuambieni,ni kitu kilizamishwa kunako au ni kisss tu tunayoiona?

roselyne1 ni kiss tu ipi uliyoona kwenye jacuzi na hukuona kwamba ni zaidi ya kiss kilichokuwa kinaendelea? Hebu ipitie tena video ya Bhoke na Ernest uone kama kweli ni Kiss tu ama ni zaidi ya Kiss! Hatua ya Lotus kumpigia kura mwenzake Bhoke aoke, na kumwambia Ernest achague mmoja kati yake au Bhoke ni kielelezo kingine cha kilichotokea kwa Bhoke na Ernest. Pia wenzao waliwaweka kitimoo kuwahoji why walifanya mapenzi katika jacuzi, na Jumapili usiku Bhoke alimwambia wazi Ernest kuwa jumamosi usiku alichokifana ilikuwa ni pombe wala haikuwa nia yake. Bado unahitaji uthibitisho zaidi???
 

Suali ni kuwa kwa nini avumilie? 🙂

Na sijui kwanini anachokifanya yeye uone kinawakilisha Watanzania, hamuwakilishi mtu pale zaidi ya nafsi yake wala huna haja ya kujikera kwa mtu anaetafuta hela yake. Bora nguvu zako elekeza Uwanja wa Fisi wasichana wadogo wanaoingia kwenye uchangudoa bila ya kutaka.
 
watu waongo sana hakuna aliyafanya mapenzi....again, its a game...let those girls be....!!! i like people who are real and daring!!!
<br />


Mitchel,U mean getting ****ed or sodamised in the presence of a Camera means daring? I see,We cn win fame and fortune but no thru insulting our dignity as human beings!!
Its hard to establish that she got ****ed,she knows the truth herself,nevertheless it is not healthy to create controversy!!
I used to look at Bhoke as a youth activist,didnt knw tht she could be capricious!!
 
watu waongo sana hakuna aliyafanya mapenzi....again, its a game...let those girls be....!!! i like people who are real and daring!!!

It always starts with being real and daring, and ends up with being hardcore simple like this SOFT SEX to HARDCORE SEX. How does it sound, Oooh! Michelle if you give Satan a foothold, He graps the opportunity and devours you immersely. How does it sound!!!!!!
 
Huyu alikuwa na stimu za kufa mtu haja jiexpress siku nyingi si umeona anampelekea kwa nyuma jamaa
<br />
<br />



Unahisi atakuwa amempa Jicho? Duuuuuuuh,Ila kumpa ndogo kwa mkao ule ngumu,itakuwa kampa kwa njia ya Uzazi tu!!!
 
Tatizo hapo ni kutaka kutengeza jina kwa njia za mkato.
 
 
Hili suala zima la kufungia watu wa jinsia tofauti katika jumba kwa miezi kadhaa halijakaa vizuri kabisa kimaadili. Hivi tunafungia watu ili tuwaangalie ili iweje??? Kama kuna anayeweza kunipa faida za kufanya hii BBA basi naomba anisaidie, vinginevyo mi naliona tukio zima kuwa ni ujinga, upotezaji wa muda na zaidi ni kudhalilisha utu wa watu na uvunjifu mkubwa wa maadili mema.
 
mkuu ile sio lazima kuangalia na hakuna mtu aliyelazimisha wewe kuwaangalia
 

chapaa inatafutwa kwa namna tofauti tofauti.
 
mtu kama huyu sijui nani kamteua kuwakilisha tz,labda ni moja ya sheria ya huo mjengo ,alafu huwa naona ishala ya jicho
ndani ya BBA hivi huwa linawakisha nini kwa sababu hawa jamaa waliokuwa kwenye sweeming wakikatana sensual lile jicho lilikuwa likiwaface .
 
mkuu ile sio lazima kuangalia na hakuna mtu aliyelazimisha wewe kuwaangalia
Mkuu fasihi imekupita kando? Mimi binafsi huwa siangalii kabisa, hapo nimeuliza swali kuwakilisha jamii tuliyomo kwamba kwa yeyote anayeangalia, anaangalia ili iweje???!!!!!! Na kwa kukurahisishia nimeuliza kama kuna mtu anaweza kunipa faida za huo mchezo na anipe otherwise it is a total waste of time.
 
Hiyo ni live!
Ni ujinga gani huu Waafrica wamepandikizwa?
Ni bora hata MAISHA PLUS walikuwa wanajikaza...huh!

Hiyo red mkuu maanake ni nini maana ina maana nyingi moja wapo ni hiyo aliyofanya Bhoke?
 
Ernest alimtia kidole m k u nduni huyo binti wa Ki-Tanzania! Is that OK with you? Uchafu mtupu!!!
 

Me too,Bhoke surprised me sana sana,sikutegemea kama anaweza fanya haya kwa kweli.
 
Me too,Bhoke surprised me sana sana,sikutegemea kama anaweza fanya haya kwa kweli.
That is what happens when you lock opposite sexes in one building without proper precautions. The problem is bigger than Bhoke, it the whole establishment which in itself is wrong in the first place
 
Huyu alikuwa na stimu za kufa mtu haja jiexpress siku nyingi si umeona anampelekea kwa nyuma jamaa

haswaa maaana demu alikuwa anajisogeza kwa mshikaji mwishowe akakalia dudu na alikuwa analiwa nyuma.... khaaaaaaaa uchafu mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…