bibikuku
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 832
- 496
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa, kipi hapo ni cha ajabu???
Hiyo program ni kwa ajili ya watu wenye miaka 18 au zaidi. Ni program inayohusu maisha ya watu under controlled environment, kwa maana kwamba hawaruhusiwi kutoka. Ni program ambayo wamesaini mikataba kufata masharti humo ndani wakiwa wanaishi maisha yao.
Ni program ambayo inahusu udadisi wa tabia za watu. And any one watching is somehow agreeing to being a voyeur, cause h/she watching a private life of some individuals. Kila unapo tune kwenye channel ya BBA unakuwa umedhamiria kuchungulia watu... i.e. unakubaili kuitwa mpiga chabo!!
Je, hayo mambo hayafanyiki majumbani mwa watu? Je, hayo mambo hayanyiki kwenye majumba ya starehe?
Nikweli:
Wangelifanya hayo ndani ya Bunge la vijana, tungelilalamika.
Wangelifanya hayo ndani ya nyumba ya ibada, tungelilalamika.
Wangelifanya hayo mashuleni na vyuoni, tungelilalamika.
A western invention on western appliance in western format under African morals... which is which????
Steve Dii
Hapo kwenye RED pls
1. Unataka kutwambia kuwa mkataba waliosaini unasema kuwa watafanya ngono wakiwa ndani ya jumba?
2. Unataka kusema tabia halisi ya mwanamke wa kitanzania ni kupenda ngoo na kutokuweza kuwa mvumilivu kama Bhoke na Lotus? maana hao wawili ni wawakilishi wa maisha halisi ya mwanamke wa kitanzania!
3 Mambo yanayofanyika ndani ya majumba yetu ni kwa waliohalalishwa kuyafanya, kwa maana ya mke na mume waliooana. Je,Lotus na Bhoke wameenda na waume zao BBA?
4. Kama majibu ya maswali hayo ni sio, je unachokishabikia ni nini? Unaridhika na hayo wanayoyafanya bila kuona kama yanatia kinyaa kwa watanzania wote na wala sio wao peke yao kama washiriki??