Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Yale yaleeee! Kwani Bhoke sio binadamu asipendwe na au asizime kiu yake apatapo nafasi? Ungekuwa wewe ndio Bhoke kakupatia nafasi hiyo, ungepanua mdomo namna hiyo kukashifu? Umejuaje kama ni vibaya kama nawe sio mtaalam? Toa kwanza boriti ndani ya jicho lako ndipo uhangaikie kutoa kibanzi ndani ya jicho la mwenzako.
 

Kaka lipia DSTV VIP uone mambo! Kitu na box
 
aagh mie sikuwa na time hata ya kuangalia BBA niliona kama watu wanaoangalia wanapoteza muda wao tu
 


Kwani wewe kwa mawazo yako watu wanaenda BBA kufanyaje? BBA ni uhuni mtupu na upuuzi uliotukuka, inasikitisha sana kuona wtz wanashangilia ujinga wa BBA.
 
Haya mashindano ndio cultural imperialism kabisa, ujuha mtupu watoto wetu kwenda kukaa uchi...

BBA ufuska mtupu. Utakuta watu wazima, mimama na mibaba imekaa na watoto wao kuangalia ujinga
 
Ningekuwa waziri husika ningetoa tamko la kuzuia watanzania kushiriki katika hayo maonyesho kwa kuwa hayana faida kwa nchi na hata kwa mshiriki zaidi ya kudhalilisha nchi na wananchi wake.
 
Bora waifute BBA, haina umuhimu kwa jamii yetu. Mbona kama ni michezo ipo mingi. Go for tenis, movies, football, rugby, hokies, netball, boxing, judo, riadha, mieleka, etc. mnaweza kuendekea kulika huu wa kijinga ambao unaspoil vijana na watoto wa taifa hili..shame to BBA and all who participated in it.
 


Walifanya mapenzi kweli? or ndo mm sina infor!
 

Si wote wanapenda serious matters so BBA ingawa si nzuri sana ila sometimes inaburudisha na hili life lilivyobana angalau ukikosa cha kufanya unaangaalia upuuzi wao roho inaburudika na unapunguza stress, life is nt that serious upuuzi nao una nafasi yake ila kwa watoto weka PG status, kwa vijana tuelekezane na kufundishana kwa hayo ni maigizo not realy life, soln si kufichana yanayoendelea duniani ila kupeana uelewa wa kuchambua kipi kibaya na kizuri.
 
What a boring character she was in the house..! I never thought a TV station like EATV could employ such an empty-headed staff. Bhoke simply hakufit kabisaaa, alipwaya kama machupi yake aliyokuwa anavaa. Au tatizo ni lugha???? Mbona alikuwa haongei kabisa????
 

:confused2:Hivi ulimouna bhoke alivokua anaboa au? coz ye muda wote kalala anamsubiri ernest aje kubandika denda hana alilolifanya huko zaidi ya kututia aibu watanzania tu.:becky:
 

Hawa "dada" zetu wamepotoshwa na style za ushindi za "kaka" zao waliopata kung'ara ndani ya jumba la bba.

Mwisho alipata umaarufu sana hata kukaribia kuwa mshindi mara mbili alizoshiriki. Kilichompa umaarufu sana ni kupiga kilaji na majamboz!!

Richard naye kilichompa umaarufu hatimaye kujizolea mashabiki lukuki na hata kushinda donge nono ni majamboz pamoja na kwamba alikuwa na mke wa ndoa kamuacha nyumbani, lakini watu walimuona kuwa ni shujaa.

Sasa hawa akina "beijing" wamejaribu kufuata nyayo hizo, kuanzia akina latoya, elizabeth hadi hawa akina bhoke na lotus. Wakashindwa kufahamu kwamba, kiafrika mwanaume hata akiwa mzinzi, asiye muaminifu katika ndoa yake jamii haishangai lakini kwa mwanamke hali ni tofauti kabisa. Sasa inawezekana hawa wadada wameamua kujaribu kufanya harakati za kutafuta usawa, si unajua tena mambo ya 50/50, bahati mbaya sana kwao wameangukia pua, wakashindwa kujua kwamba afrika ni afrika tu na waafrika ni waafrika tu, mila na tamaduni zetu ziko pale pale haya mambo ya kuiga ni ya muda tu!!
 
Kwa mila za kiafrika sisi wanaume tunapendelewa kuliko wadada ndo maana richi hatukumsema wala hatukujiuliza huyu demu wake huku home atajiskiaje.ila du kwelii bongo wanawake wakuoa wameisha yaani totaly kushnee...pata picha hupo na machizi wako mnacheki luninga huku unajisifia kuwa demu wako yupo bba alafa gafla wanaonesha ananyonywa mate na mtu mwengine..sijui utajificha wapi
 

Pamoja na kumlaumu Bhoke kwa aliyoyafanya ndani ya jumba la BBA, hapo kwenye Red ndio pamevuta zaidi hisia zangu.,binafsi naamini kuwa huyu binti hakutumwa kwenda kuwakilisha Taifa na wala alikuwa hawakilishi Tanzania kama nchi isipokuwa tu alikwenda mwenyewe kuganga njaa yake, kuna tofauti kubwa kati ya BBA na mashindano ya kimataifa ambayo timu zetu na wanamichezo wengine wanakwenda kushiriki, BBA haina faida yeyote kwa taifa tofauti na michezo mingine kwani lengo lake ni kumnufaisha mtu mmoja tu kwa maana ya huyo mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…