sekulu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 988
- 158
mnh sema mfumo dume tu kufanya mapenzi mbona yule richard alifanya? na akashinda?
Na hii imekaaje bana https://www.jamiiforums.com/habari-...-mbaroni-kwa-kubaka-kavulana.html#post2067513
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnh sema mfumo dume tu kufanya mapenzi mbona yule richard alifanya? na akashinda?
Nani aliona live wanafanya mapenzi hadharani? Hivi ni nani hajui mapenzi yanafanywaje??... kupiga busu na pozi la mahaba ni kufanya mapenzi? Binafsi naona alikuwa sawa anaigiza movie..zile zote ni "NATO alliance" yaani "No Action Talking Only" ..
Ndugu zangu tuache kuwahukumu watu kwa mawazo yetu...Jihukumu kwanza wewe mwenyewe...
Binafsi tufurahishwi na Big Brother..lakini sitakubali kumuhukumu mtu kwa mawazo yangu...Ni yeye mwenyewe anajua kizuri na kibaya na pia kile alichofanya alifanya kwa mapenzi yake na sio kwa mapenzi yako wewe mtazamaji! Acheni fikra fupi!!!
Kaka lipia DSTV VIP uone mambo! Kitu na box
aagh mie sikuwa na time hata ya kuangalia BBA niliona kama watu wanaoangalia wanapoteza muda wao tu
Cjajua walitumia vigezo gan kuwachagua wewe na lotus,ambapo lotus yeye alishaonesha utovu wa nidham mapema na kutolewa,then ukabaki wewe je? Ulidhan kweli unaweza shinda hayo mahela? Umefanya mapenz watu tumekuona je ndio tulichokutuma? Hiv ukifika bba lazma ufanye mapenz? So watanzania walichukia na wamekua dhibu!
Haya mashindano ndio cultural imperialism kabisa, ujuha mtupu watoto wetu kwenda kukaa uchi...
Sidhani kama kuna haja ya kupeleka washiriki wa kike kule,manake hawana ubunifu wowote kwani wanachojua ni kusex,then unajua mwanamke aliyewah kushinda ni mmoja na tena alijiheshim sana,sasa bhoke kadanganywa na ernest tena wakafanya mapenzi kavukavu,lotus naye eti ana lipiza,sasa mi najiuliza'je mpz wa bhoke atamwangalia vip mamake,babake? Mpenz wake je?je ernest atakuwa nae tena? Sawa pumzika mama! Manake wakati unafanya mapenz kavukavu then ukawa unaiskilizia ilikuwa inaniuma sana,je mpz wako alikuwaje hapo? Multichoice wasipeleke wanawake!
Baro waifuta BBA, haina umuhimu kwa jamii yetu. Mbona kama ni michezo ipo mingi. Go for tenis, movies, football, rugby, hokies, netball, boxing, judo, riadha, mieleka, etc. mnaweza kuendekea kulika huu wa kijinga ambao unaspoil vijana na watoto wa taifa hili..shame to BBA and all who participated in it.