Hakuna chochote tunachoweza kusema tunajifunza toka kwenye mashindano ya Big Brother Africa zaidi ya kuangalia watu wakifanya vitendo vya ngono na akina dada wakiyaanika wazi maungo yao, Mwanadada wa kitanzania Bhoke alipoliwa uroda live kwenye luninga na mshiriki wa Big Brother Africa toka Uganda, Ernest imedhirisha wazi kuwa tumeishapoteza muelekeo kimaadili.
Safari ya Tanzania kwenye Big Brother Africa imemalizika kwa mwanadada Bhoke kutupwa nje ya mashindano hayo baada ya kutajwa mara nyingi na wenzake.
Achana na kutoka kwa Bhoke, kilichobaki sasa kwenye historia ni video ya Bhoke akiliwa uroda Live kwenye luninga na Ernest wa Uganda. Video hiyo imezagaa kwenye YouTube na mitandao mingi barani Afrika. (usiende kokote tumekuwekea video hiyo mwisho wa habari hii).
Ingawa kipindi hicho huangaliwa na watu wengi wa rika mbalimbali, kitendo cha Bhoke kufanya mapenzi mbele ya kamera kimenifanya nijiulize nini tunajifunza toka kwenye Big Brother Africa.
Ingawa hatujui kama mapenzi yao yalikuwa ya kweli au na kama mapenzi hayo yataendelea nje baada ya wote wawili kutolewa kwa pamoja juzi, lakini imeonyesha ni jinsi gani jinsi maadili yetu ya kiafrika yalivyogeuzwa na maendeleo ya teknoojia na kuwa kama ya watu wa mataifa ya magharibi.
Ingawa inasemekana kuwa washiriki wa Big Brother walipimwa HIV na magonjwa mengine ya zinaa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano hayo, bado mashindano haya sidhani kama yanawafundisha watu maadili mema ya kuepukana na ngono zembe.
Kama nikisema nibwabwaje yote, hii nafasi haitatosha, angalia video ya Bhoke akiliwa uroda chini kisha changia mwenyewe maoni yako.