Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA


Hahahahahah Mbavu zangu mie loh loh loh Afro hawa walikuwa wanataka wafanye ile kitu inaitwa KIMYAKIMYA si wanajua kamera zinawaangalia, lakini unajua hii kitu utamu ukikolea haina jinsi ikabidi mablanketi yacheze tu na kiuno cha hapa na pale, kinatosha kukata hamu kiaina sio ile kwa saaaaanaaaaa
 
Hivi walitumia kinga kweli? Kweli huyu mwanamke amejua kutuaibisha watz.
 
Ndo maana UKIMWI hautakaa uishe, unamjaji mtu kwa macho tu na unaamini hana..SIJAONA KONDOMU PALE!
 
Shosti una uhakika mwenzio hakukata kiu hapo kweli???? dakika zote hizo alikuwa hajamaliza kushusha mzigo???
mhh hili likaka limewadhalilisha sana wahaya wa uganda....heri hata lingepiga tizi kama za huyo bwanamdogo kwenye avatar yako...limetulia halafu likatetemeka nusu sekunde
 
mhh hili likaka limewadhalilisha sana wahaya wa uganda....heri hata lingepiga tizi kama za huyo bwanamdogo kwenye avatar yako...limetulia halafu likatetemeka nusu sekunde

Hhahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Shosti ukiona hivyo ujue hamu ilikuwa kubwa sana, au ndo staili ya kimya kimya ilivyo
 



Hakuna chochote tunachoweza kusema tunajifunza toka kwenye mashindano ya Big Brother Africa zaidi ya kuangalia watu wakifanya vitendo vya ngono na akina dada wakiyaanika wazi maungo yao, Mwanadada wa kitanzania Bhoke alipoliwa uroda live kwenye luninga na mshiriki wa Big Brother Africa toka Uganda, Ernest imedhirisha wazi kuwa tumeishapoteza muelekeo kimaadili.
Safari ya Tanzania kwenye Big Brother Africa imemalizika kwa mwanadada Bhoke kutupwa nje ya mashindano hayo baada ya kutajwa mara nyingi na wenzake.

Achana na kutoka kwa Bhoke, kilichobaki sasa kwenye historia ni video ya Bhoke akiliwa uroda Live kwenye luninga na Ernest wa Uganda. Video hiyo imezagaa kwenye YouTube na mitandao mingi barani Afrika. (usiende kokote tumekuwekea video hiyo mwisho wa habari hii).

Ingawa kipindi hicho huangaliwa na watu wengi wa rika mbalimbali, kitendo cha Bhoke kufanya mapenzi mbele ya kamera kimenifanya nijiulize nini tunajifunza toka kwenye Big Brother Africa.

Ingawa hatujui kama mapenzi yao yalikuwa ya kweli au na kama mapenzi hayo yataendelea nje baada ya wote wawili kutolewa kwa pamoja juzi, lakini imeonyesha ni jinsi gani jinsi maadili yetu ya kiafrika yalivyogeuzwa na maendeleo ya teknoojia na kuwa kama ya watu wa mataifa ya magharibi.

Ingawa inasemekana kuwa washiriki wa Big Brother walipimwa HIV na magonjwa mengine ya zinaa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano hayo, bado mashindano haya sidhani kama yanawafundisha watu maadili mema ya kuepukana na ngono zembe.

Kama nikisema nibwabwaje yote, hii nafasi haitatosha, angalia video ya Bhoke akiliwa uroda chini kisha changia mwenyewe maoni yako.







 
Last edited by a moderator:
wanawake hua wanapenda sana kulaumu wanaume kwamba tu wadhaifu mara tunatoka nje ya ndoa na kwa hili linathibitisha nini??hii hali ni 50%50%kila mtu ana kiu ila kwa hili dada kazidisha mbele ya media
 
Najua wengi tutaona aibu..kwa sababu unajifananisha nae au unafafanisha na dada yako..au mpenzi wako ..na pia uanchukua in general yaani kwa utamaduni wetu ..ni aibu sana..

Lakini siwezi kumuhukumu kwani ni nafsi yake na maisha yake aliyoamua ayafuate....Kufanya mapenzi hadharani hakuna tofauti yeyote na kufanya mapenzi chumbani au Gizani...mtu aniambie tofauti yake ..kwani unamficha nani zaidi ya nafsi yako.....????

Bhoke atajihukumu yeye mwenyewe ..vitu viwili vikubwa.. magonjwa (ukimwi) na pia kama Bhoke alikuwa na mpenzi mwingine kabla hajaenda huko atakuwa amesaliti mpenzi wake..hakuna cha aibu ya taifa hapa.. ni aibu yake binafsi..

Lakini kwa watanzania mimi sioni effect yeyote kwani watanzania wa sasa tumeamua kushabikia Reality shows ambao hazikuwapo kwenye utamaduni ule wa zamani. Kama wewe umeamua kuangalia Reality show ya Big brother basi kubali yaishe haina haja ya kulaumu... Kama wewe sio shabiki na unataka watoto wako uwalee kwa utamaduni ..basi utakuwa huja Subscribe hiyo channel na hivyo HUJAONA..forget..

Let bygone be bygone.. mwache Bhoke na mwili wake na nafsi yake ,,, kama tunataka tukumbatie utamaduni wetu basi iwe kwa vitu vyote na siyo to be selective.. kila siku tunapiga kelele kuhusu kufanya mapenzi..nguo fupi..tunaacha mambo makubwa.. wizi, ufisadi, uongozi mbovu, dhuluma, unyanyasaji... hivi vyote ni utamaduni wetu????n Hivi vitu ni zaidi ya kufanya mapenzi hadharani ambako hakuna tofauti na kujichua chooni... kalagabaho..labda mimi ni zumbukuku!
 
Alidhani akifanya hivyo umaarufu na watu watafulia ,kumbe wamechoka kuona style zile zile za kujipatia umaarufu kama waliopita,kushineeei binti unaweza kuitazama familia yako machoni kabisa wewe?
 
Watanzania walishindwa kabla hata ya safari ya kwenda huko,walikariri wakataka kufuata nyayo za mwisho na rich badala ya kufuata nyayo za elizabeth,mtt bokhe anaelekea maji mara moja maharage ya mbeya two weeks kavuliwa chupi?
 
nilimtetea kwenye jacuz
hapa mmmh najuuuta kumtetea!
Yaani huyu sio maharage ya mbeya,ni mchicha bila maji unaiva!
Kujidhalilisha kote jamani kama hana wazazi au boyfriend!
Halafu kijanaume chenyewe hakina hata msuli dakika tano tu kashuka, si kampaka shombo la kiganda tu hapo!
 

wewe umejuaje kama ni dakika 5 tu walizotumia?
 
:smiling::smiling::smiling::smiling:NO COMMENT:smiling::smiling::smiling::smiling:
 
ni kweli mkuu kizazi hiki ni cha .com mambo mengi yamekua wazi ila ukiangalia kifamilia hasa familia ya mhusika na ndugu jamaa na marafiki hata yeye mwenyewe akiona ishu hii atajisikiaje au watajisikiaje na kena wengine hua inafikia mpaka kujiua mie naona bado kuna umuhimu wa kutoa elimu mashuleni na popote pale juu ya maadili ya mtanzania

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…