Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Angeshida sidhani kama watu wangeongelea hio video....mbona Richard alifanya mapenzi na kale ka demu ka Angola na tena yeye ana mke, alivyoshinda mpaka leo watu kimya!!
 
Bhoke na Ernest wote wametia aibu kubwa kwa nchi zao,
kwa kufanya tendo hilo "live" (wakijua kabisa camera ya Big brother inarekodi) na
kuwa inarushwa Afrika nzima
Hili tendo huwa ni la faragha, jamani
ni aibu sana namna hii
SHAME ON YOU BHOKE!
Imekuwa aibu ya TZ sasa
 

Ha ha ha! Kaka umeua! Duh
 

Hamna cha Kimyakimya
umeamua kuonyesha
onyesha kitu watu waridhike..
otherwise bora usifanye..

sasa hapo wamejiaibisha
mbaya kabisa ni kama watoto
alianza ku balehee au wazee wa
mika 80...
bora hata wangejiaibisha kwa
faida za wengine (wale wa nyeto)
lakini hii utang'oa mpaka na ngozi
matokeo 0%........ Haya ndio
matatizo ya kitu LIVE ....
 
Boring Sex ever..
na dhani ni kwa ajili yama blanketi mmhh
yah hata game yenyewe kama Lipuli an katavi rangers,Ernest ni poor perfomer hakukuluki nilitegemea na ukame wao ule jamaa angepiga ile nje ndani 200 mpaka mashine inawaka moto
 
Afu kajamaa mwenywe kachakaza chini ya dakika tatu...hapo hakuna....utamuuuuuuu wowote
 
girl ...if you wanna do something, for god's sake do it properly

What's the point of this kind of shagging on TV? Heck, what's the point of this kind of sex at all?
 
mimi walioniudhi ni wle waliosema tumuombe mungu....
i was thinking huyo mungu atanichukuliaje?????

eti tumuombee mungu asitoke...

si ndo mwanzo wa mungu kukukasirikia??????????
na kujitafutia mikosi
 
afrodenzi
gaijin
shosti

siwapatii picha kitandani lol

nyie ndio mnaso scream gime moree gimme morree lol
ha ha haaa
 
Ni mmoja wa akina dada niliokuwa
nawaheshimu sana.. ila na dhani alienda kwa selfish reasons.. sijui ndio alisahau au alijifanya kasahau
anatuwalisha TZ nzima... sasa niki
sikia jina lake na hisi kichefu chefu.
 
mimi ningekuwa ni amri yangu tanzania ingekuwa ni marufuku kupeleka wanawake.
ni vidume tu kama kina mwisho,richard hata kina kalimangonga wanafaa sana kwani tz ni hulka yetu kupeleka hafu kasti.
 
hivi kama bhoke ni stupid

na wliotuambia tumpigie kura na kumuombea mungu asitoke

tuwaite voipi???????????????
 
hii ni aibu hakuna cha kujivunia kwa mambo ya kipuuzi kama haya ingekuwa mimi waziri wa mambo ya ndani huyu dada leo angekuwa segerea, hata malaya wa pale ambiance wanafanya mambo haya faragha, mtawawaficha wapi watoto wenu kwa ujinga kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…