The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Niliweka tent tokea Jumatano jana nilikuwa naangalia rehearsal ya mwisho jana halafu hii ya Wiliam kutumia pete ya marehemu mama yake kumvalisha Kate kama pete ya ndoa sijaelewa huu utamaduni ukojeumeweka tent na wewe hapo maana mie niko kituoni tangu asubuhi northern line full inapitiliza tu.
