Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Hiyo title ya clip wameandika big brother wenyewe au wadaku? I don't see why watumie majina ya nchi wanapotoka wahusika wakati tumeshaambiwa haya mambo ni ya mtu binafsi. Na wameniudhi kutumia neno eats. Anyway tumejifunza next time tuache kuwa washabiki wa hii BBA maana ni binafsi tusiconnect na nchi na kuja kuwalaumu watu kwa tabia zako "binafsi". Ingekuwa uwezo wangu hata mbongo atakae ingia humo BBA next time asingemention kuwa ametoka Tz.
 
Kila la kheri kukusaidia tu utakapo onana nae uwe na mbegu za mtama uanakula mzigo
 
Sijui hata yana maana gani haya BBA. Kudhalilishana tu. Sipendi!!! We muoe tu kama umempenda bana mzee, si mtakuwa mwili mmoja? So na we utafanana naye.
 
wewe kinachokuuma ninini.?au ulikua unataka kuliwa ww..post mada za msing and acha ushakunaku wt othr pple life...pole
 
wewe kinachokuuma ninini.?au ulikua unataka kuliwa ww..post mada za msing and acha ushakunaku wt othr pple life...pole
Lakini alikuwa mwakilishi wa nchi..otherwise isingekuwa ishu hapa maana kitumbua ni chake na hata hapa bongo akitaka anaweza kukitembeza tani yake, hamna atakayejali. Mtu anapowakilisha nchi manake anawakilisha interest ya nchi anakotoka hapa ndipo ishu ilipo. Kama angekuwa anajiwakilisha yeye kama yeye isingekuwa tatizo. Naamini serikali inabidi iingilie kati kwene mashindano yanayobomoa zaidi badala ya kujenga kama haya maana sielewi jamii hususan watoto na vijana wanaochipukia wanajifunza nini kutokana na mashindano kama haya. Jamii inaelekea kusiko kiukweli.
 
ametuaibisha na hasa amejiaibisha!mayb ni pepo la ngono lilimuingia...au amezoea sana so ilimuwia vgumu kukaa bla 'mskandunje'(dic z a swaz nem which means sex)...tucmjudge,let us live ourlives bt let us kip ha in our daily prayers....
 
Upumbavu huuuu, ndo kutafuta utajiri ama popularity?
 
Alisikia raha sana nadhana anatamani arudi bba, vipi eatv watampa kazi kweli kwa huo ujinga tena. Jamaa yake wabongo atajisikiaje
Masista duu wa kibongo wakitoka nje ya bongo wanakua km mazuzu? Latoya nae alienda kwa papara BBA washikaji wakamshonaa. Huyu Boke anamchumba tena aliezaa nae mtoto 1 (tetesi), ameenda ndani ya BBA akiwa ktk mahusiano, kamsaliti bf wake then katuaibisha wa tz, coz wkt alipoenda alikabidhiwa bendera bt leo anasema alikwenda yeye km yeye eti hakuwakilisha nchi!
 
Wadau mie nimemzimikia sana yule binti aliyekuwa BBA, Bhoke, kwani kaonesha uhalisia wake kamili kwa kuonesha akifanya ngono huku dunia nzima ikimtizama. Naomba ushauri wana JF.
We si ndie ulikua unalalamika kamegwa kwenye mjumba? Duh kumbe unainterests zako? Haya go on!
 
katangaza nchi kwa staili yake yeye mwenyewe binafsi
sijui family yake itamchukulia vp kweli mzee wake busy kwenye mtandao alafu anakutana na vitu kama hivi mi nadhani mambo yanayoendelea kwenye lile jengo ni ya ajabu hata kuliko hili hiyo ndiyo mipango yaibilisi'
 
Amevunja amri ya sita hadharani, amrudie muumba wake atubu, ila ss hatumsamehi hapa!!!
 
Yeah tatizo kubwa apa ni kuwa Bhoke aliiwakilisha nchi na si yeye kama yeye. The way none TZians will define her,that is the way TZ as a country will be defined!
We are ashamed!
 
Huyu dada nilijuaga anasingiziwa jameni ila nimesikitika sana!

Bhoke Bhoke si ungesubiri mtoke then mkabanguane huko??, alaf mwakilishi wa MCT anasema tuwape support washiriki wetu jamani


Imenivuruga mbaya ngoja nilale tu!
 
Last edited by a moderator:
Huyu binti hajatulia hata kidogo,kwani kungonoka live kwenye luninga kuna tofauiti ganik na kungonoka hadharani, tena kwa taarifa yake hiyo ni zaidi ya kungonoka kitaani
 
Bhoke Egina responds to sex with Ernest in BBA House - nigeriafilms.comKama yeye anajua ni watz pekee aliowaboa aje na asome hapa
nimesoma hizo comments baadhi ila nimegundua kuwa pamoja na bba kuwa live vile, si sehemu ya kuonyesha upumbavu wako. Big up kwa sahihi ya invisible. And Bhoke...u r a B.I.T.C.H on heat every passing sec. Tunatenda maovu ila si kwa uwazi kiasi hiki. Na pia pamoja na kufanya sirini huwa dhamira zetu zinatusuta kisha tunatubu kwa Mungu. Sasa huyu public sl.ut kakosa mbele za Mungu na jamii lakini hata dhamira haimsuti? Ni bhange tu za kwao. Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…