nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Hiyo title ya clip wameandika big brother wenyewe au wadaku? I don't see why watumie majina ya nchi wanapotoka wahusika wakati tumeshaambiwa haya mambo ni ya mtu binafsi. Na wameniudhi kutumia neno eats. Anyway tumejifunza next time tuache kuwa washabiki wa hii BBA maana ni binafsi tusiconnect na nchi na kuja kuwalaumu watu kwa tabia zako "binafsi". Ingekuwa uwezo wangu hata mbongo atakae ingia humo BBA next time asingemention kuwa ametoka Tz.