Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

umeweka tent na wewe hapo maana mie niko kituoni tangu asubuhi northern line full inapitiliza tu.
Niliweka tent tokea Jumatano jana nilikuwa naangalia rehearsal ya mwisho jana halafu hii ya Wiliam kutumia pete ya marehemu mama yake kumvalisha Kate kama pete ya ndoa sijaelewa huu utamaduni ukoje
 


Age 26
Hometown Dar es Salaam
Occupation TV Broadcaster
Biography Tune in on Sunday 1 May to get Bhoke’s full profile.



Show itaanza may 1.... Haya kazi ni kwetu kumpa support dada yetu!
i can predict ndiye atakayekuwa housemate wa kwanza kuwa evicted....BBA ina viewers wengi ambao ni wanawake....i doubt kama watampa support,infact BBA needs less serious people,so to me sio pendekezo zuri kwa tz
 
Niliweka tent tokea Jumatano jana nilikuwa naangalia rehearsal ya mwisho jana halafu hii ya Wiliam kutumia pete ya marehemu mama yake kumvalisha Kate kama pete ya ndoa sijaelewa huu utamaduni ukoje
Lazima watakuwa wame ipolish na kuongezea makito mengine hata mie sielewi hii huwa wanamaanisha nini wazungu, naonaga hata kwenye movie
 
Successful woman like this, hivi vijisenti vya BBA anavihitaji kweli? mi naona wanaziba tu chance za watu wanaohitaji kiukweli

Confidence



Age37HometownAccraOccupation CEO of MultiMedia Company / Aphrodisiac Nightclub Biography Tune in on Sunday 1 May to get Confidence's full profile.
 
Ni kweli huyu mimi nimeona profile yake nikasema sasa wamemchukua ila akafanye nini anaziba riziki za wenzake ila ndio hivyo naona this time wameamua kuchukua na CEO'S kutakuwa na vituko sana this time let wait and see
 
Ahsante hivi inaanza ee maana hali hii ngumu ki decoder nilishakitupia huko! ngoja nikifute vumbi nikalipie, yaani kushinda mwanamke bado ni ndoto maana kwa jinsi wasichana tusivyopendana? hata kumpigia kura ni issue , tuna wivu hatari. na waangalia BBA na wapiga kura wengi ni wanawake. tujitahidi mwaka huu hata asiposhinda wa kwetu ashinde msichana yeyote
 
Wapenzi marafiki nimeona si vibaya ku share na nyinyi hii.Bhoke ndie anatuwakilisha bba. na wako wasichana saba vijana watano, mnafikiri kwa kuweka wasichana wengi itasaidia msichana kushinda?
kumbe wasichana si vijana? Nimejua leo
 
Ha ha ha..wadanyika subirini kuchakachuliwa dada yenu live on TV.
 
Yaani we acha tu itakuwa hatari humo ndani kila demu atataka urafiki nae

What about him
Jossy



Age28HometownWindhoekOccupation Recording Artist / Marketing,Sales and Ad ManagerBiography Tune in on Sunday 1 May to get Jossy's full profile.
 
Majira mengine ya kuchafua nafsi, roho, akili na miili yetu yamewadia. Big Bro = eating, foul languages, explicit sex, drinking, nuding, lewdness, pervertion, it is terrible. This is how we want to groom up the next generation, what a pervertion!

Hope she's chucked the her tz BF...haponywi huko...
 
To me those things are among the Satanic institutions and Infrastructures
 
Mh ya mwisho nakumbuka ilikua 1981, we mwenzetu uliiona?
Huo mwaka ni zamani sana sikuiona ila haya marudio ya jana nimeona ilifurika sana watu duh
 
Boke, nadhani safari hii wameamua kupeleka aliyefanyiwa tohara ili kuliepusha taifa na aibu.
 
Boke, nadhani safari hii wameamua kupeleka aliyefanyiwa tohara ili kuliepusha taifa na aibu.
Na wewe jamani! mbona unanivunja mbavi mie, haya angalia hapo chini, ataweza ku compete na huyu wa kampala? Shanon, ni mwanamusic
 
ataweza ku compete na huyu wa kampala? Shanon, ni mwanamusic

Huyu hana mvuto wa kiafrika akipelekwa big brother uingereza labda, boke miss bantu bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…