The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
hahahaahahahahahhhahhahahahhaahahh hii kali....mbaazi ikisinyaa inasingizia jua,mwanaume mvivu kama Ernest nadhani hana analoweza fanya..huhitaji mawani kuliona hilo.Hatimaye Ernest naye aloga, nyepesi nyepesi nilizozipata punde toka Uganda, zinasema Enerst alikuwa anawaambia marafiki zake kuwa Bhoke alimuuzi saana, anasema hamu ilikwisha alipomkuta na mzuzu yaani kafuga Boney M (hajanyoa). Ndo maana anasema game ilikwenda dk5 na sekunde 18. Na kazi haiwezi . Kazi ipo dada kayapa uadaku magazeti, sijui itabidi atafute waandishi kuthibitisha hili?
wadau hivi ile clip ya bhoke na ernest wa big brother naweza iangalia mtandao gani?...samahani wadau nataka kufurahisha macho tu pole kama nitamkwaza mtu
Tumor supportYo, I kno this chick...si alikuwa eatv..anaonekana mjanja..hope atafanya mambo ya ukweli bba..cus anaonekana yuko smart.
Funguka bwashee!HATIMAYE KAGONGWA KWEUPEE
google utaonaFunguka bwashee!