Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

wao viongozi wa Africa ndio waoga wa kusema na kukataa yale mabaya tunayo lazimishwa na USA,Kwanini yeye Rais asi anze kwa kukataa na kuyakemea yale yote yanayotoke Libya sasa? kwa nini Rais asimweleze ukweli mama clinton na Obama kuwa USA haijawahi fanya jambo jema kwa nchi za Kiafrica zaidi ya kutulazimisha kuingia mikataba feki na kubadilishana mali zetu na vyandalua?

Mh Rais naimani utaisoma hii thread na utapitia ujumbe wangu
ebu tenga mda wa Dakika 10 na msikilize huyu jamaa hapa anasomo nzuri sana kwa viongozi wa Africa hususani wale wanaoikumbatia USA

Last edited by a moderator:
Jamani naona wote tumekuwa na jazba, kwa nini tusiangalie na upande mwingine? let say huenda Bhoke alikuwa na matatizo katika uhusiano wake na jamaa au ndugu yetu mbongo, kuwa jamaa mambo alikuwa hawezi hamfikishi, sasa akaamua labda ajabribu na Mganda? Mimi nafikiri wandishi hawakuwa makini katika kumhoji wao walielekeza kwenye negative tu.

Nyepesi nyepesi zinadai mataa wa movie wanataka kumuandali sooo la nguvu kwa kuonyesha jinsi gani wadada wakibongo wanavyojua kulala kama mende ha ha ha ha ha
 
Hatimaye Ernest naye aloga, nyepesi nyepesi nilizozipata punde toka Uganda, zinasema Enerst alikuwa anawaambia marafiki zake kuwa Bhoke alimuuzi saana, anasema hamu ilikwisha alipomkuta na mzuzu yaani kafuga Boney M (hajanyoa). Ndo maana anasema game ilikwenda dk5 na sekunde 18. Na kazi haiwezi . Kazi ipo dada kayapa uadaku magazeti, sijui itabidi atafute waandishi kuthibitisha hili?
 
hahahaahahahahahhhahhahahahhaahahh hii kali....mbaazi ikisinyaa inasingizia jua,mwanaume mvivu kama Ernest nadhani hana analoweza fanya..huhitaji mawani kuliona hilo.
 
wadau hivi ile clip ya bhoke na ernest wa big brother naweza iangalia mtandao gani?...samahani wadau nataka kufurahisha macho tu pole kama nitamkwaza mtu
 
kadem kaboovu, kakafikiria kakikamuliwa mbele ya kadamnasi ya waafrika ndio katapata nafasi ya kukaa zaidi....yaani huyu mtoto ni bonge la bwegez
 
Mmh post#488 imeniacha kinywa wazi. Binti wa Tarime huyu home kabisa
 
Back
Top Bottom