Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Kweli huenda watengeneza filam za porn huenda wamemuweka katika listi ya wanaofaa kufanya nao biashara!labda ana-talanta ya kuwa porn star, alikuwa anajitangaza kwa potential investor....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli huenda watengeneza filam za porn huenda wamemuweka katika listi ya wanaofaa kufanya nao biashara!labda ana-talanta ya kuwa porn star, alikuwa anajitangaza kwa potential investor....
Naona mnazunguka tu.hili shindano halina faida kwa taifa,mtu anapokuwa mle tz ndo inatajwa na utz wake ndo dunia nzima unaangalia.tunadhalilika mno.ebu fikiria hata wazazi na kaka mtu walipokuwa wanashuhudia ndugu yao akiwa faraghani anakuwa ktk hali gani! Kweli huu ni utandawazi lakin lazima tujiwekee misingi kama nchi.upo umuhimu wa kuanza harakati hili shindano mtz asishiriki.faida anayotaka kupata mtu kwa kudhalilisha nchi ni upuuzi no justification.jamani pale watu wanawakilisha nchi zao na si mtu binafsi na lazima tusimamie maadili yetu bila kuangalia wengine.that is totally completely nonsense hata kama bhoke hakufanya mapenzi lakini alifanya jambo la ajabu sana hata kama hana wazazi aheshimu watz waliokuwa wanatazama.wote wanaomtetea wahoji nafsi zao maana kila mtu ana dhambi lakini ndo tuhalalishe upuuzi kisa wote si wasafi? Aaaaargh!Wote wawili hawakuwa na mvuto kabisa tunaomba mnaochagua muwe makini kipindi kijacho..
Nashangaa waziri mwenye dhamana na mambo ya utamaduni haja toa tamko kwa mwenendo wa shindano hili linalooneshwa na tv zetu na washiriki wakiingia kwa uwakilishi maalum wa nchi zao! Walifutilie mbali huu ujinga.Kweli huenda watengeneza filam za porn huenda wamemuweka katika listi ya wanaofaa kufanya nao biashara!

Nani aliona live wanafanya mapenzi hadharani? Hivi ni nani hajui mapenzi yanafanywaje??... kupiga busu na pozi la mahaba ni kufanya mapenzi? Binafsi naona alikuwa sawa anaigiza movie..zile zote ni "NATO alliance" yaani "No Action Talking Only" ..

Ndugu zangu tuache kuwahukumu watu kwa mawazo yetu...Jihukumu kwanza wewe mwenyewe...

Binafsi tufurahishwi na Big Brother..lakini sitakubali kumuhukumu mtu kwa mawazo yangu...Ni yeye mwenyewe anajua kizuri na kibaya na pia kile alichofanya alifanya kwa mapenzi yake na sio kwa mapenzi yako wewe mtazamaji! Acheni fikra fupi!!!
Muonekano wake sivyo alivyo, yani akilewa huko bondeni kunachemka kama ugali walaah anasikia kupelekewa tu, shetani wake yuko bondeni heee heee.hata bila kufanya mapenzi wala asingefika kokote mana
alikuwa anabore sana, kutwa amelala au anasoma kitabu na kusubiri Ernest wakiss na kumdanganya
aaghh kwa kweli nilifurah sana alipotolewa.
Hivi wadada wa tz wao ni mapenzi tuu
hawaoni lingine????
Bora waifute BBA, haina umuhimu kwa jamii yetu. Mbona kama ni michezo ipo mingi. Go for tenis, movies, football, rugby, hokies, netball, boxing, judo, riadha, mieleka, etc. mnaweza kuendekea kulika huu wa kijinga ambao unaspoil vijana na watoto wa taifa hili..shame to BBA and all who participated in it.
What a boring character she was in the house..! I never thought a TV station like EATV could employ such an empty-headed staff. Bhoke simply hakufit kabisaaa, alipwaya kama machupi yake aliyokuwa anavaa. Au tatizo ni lugha???? Mbona alikuwa haongei kabisa????
tena Lotus ndo mpuuzi kabisa alafu kajifunga hatamu puani kama farasi.
Bora kuungua na jua heshima yako ibaki palepale, kuliko kujiabisha na kuaibisha jamii inayokuzunguka, wazazi na ndugu zako na heshima isiwepo kisa huungui na jua. wengi alikuja na wengi wapotelea mbali hamna kitu pale, mbona wenzie wanajiheshim inamaana TZ ndo tunaonekana maharage ya mbeya aaah.Jamani mbona mnamuone donge dada wa watu ndo keshatoka hivyo anajulikana atapata mikataba minono hivi punde nyie mtabaki mnaungua na jua tu mlieeeee!!!:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Pamoja na kumlaumu Bhoke kwa aliyoyafanya ndani ya jumba la BBA, hapo kwenye Red ndio pamevuta zaidi hisia zangu.,binafsi naamini kuwa huyu binti hakutumwa kwenda kuwakilisha Taifa na wala alikuwa hawakilishi Tanzania kama nchi isipokuwa tu alikwenda mwenyewe kuganga njaa yake, kuna tofauti kubwa kati ya BBA na mashindano ya kimataifa ambayo timu zetu na wanamichezo wengine wanakwenda kushiriki, BBA haina faida yeyote kwa taifa tofauti na michezo mingine kwani lengo lake ni kumnufaisha mtu mmoja tu kwa maana ya huyo mshindi.
hata bila kufanya mapenzi wala asingefika kokote mana
alikuwa anabore sana, kutwa amelala au anasoma kitabu na kusubiri Ernest wakiss na kumdanganya
aaghh kwa kweli nilifurah sana alipotolewa.
Hivi wadada wa tz wao ni mapenzi tuu
hawaoni lingine????
Jamaa wameua vibaya!Kumbe huyu Bhoke kila mtu alimuona hana adabu..nilifikir ni sisi tu watanzania, kumbe waafrika wote
SOma hapa kwenye hii linki halafu angalia upumbavu wake kwenye video
SHAMELESS bhoke and ernest sex full
Kweli kupewa bendera ya taifa ndo uwakilishi rasmi lakini mantiki ya shindano tu inatoa tafsiri ya utaifa.wanaposhinda mpaka waziri anatuma pongezi! Tujiangalie upya kama taifa.binafsi ingawa simfahamu bhoke lakini utanzania wake mle ulifanya nimuone kama dada yetu akitudhalilisha,guest what to her real brothers and sister without to forget parents unafikiri pale walikenua meno! Upuuzi mtupu!Jamani mbona mnamuone donge dada wa watu ndo keshatoka hivyo anajulikana atapata mikataba minono hivi punde nyie mtabaki mnaungua na jua tu mlieeeee!!!:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah: