Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

embu itumbukizeni hapa jf niangalie tena..au you tube
 
nafikiri alidhani ataupata umaarufu; sasa tuone ndo hivyo wameshamngonoa na alikuwa anarusha kamguu tu kusikilizia utamu, halafu anaenda vyombo vya habari kujifanya anaua sooooo, hata waandishi/watangazaji wenyewe wanamuuliza kwa kumkejeli yeye uelewa wake mdogo maskini hatambui hilo. sasa kama anasema hajutii alilolifanya BBA mbona walifanya huku wakiwa wamejifunika gubigubi? angeacha wazi tuone everyithing kuonyesha kwamba yeye hajali sasa pale alikuwa anaficha sura halafu huku anakuja anasema hajali chochote? basi awe anachukua waandishi wahabri na televesion anapoenda gesti.
 
eti hujutii niaibuu yani najisikia ukakasi kwasabb ume jichafua kuliko sijuo sasa apo unaonesha jamii unatabia gani yani ume ni udhi sikidogo!
 
Bhoke nyodo nyingi, kumbe hata kiandani hajiwezi ha ha ha , hapo mmeona kweli mauno? yeye alikuwa anatikisa kamguuu tu, na jamaa ndo linakata mauno ha ha ha. Kwa soko huria na utandwazi huu, amepoteza soko, kwani hata kwenye movie za pono hafai
 
RAIS Jakaya Kikwete amewashutumu watu na hasa asasi zisizo za Serikali (NGOs) kwa kukosa uzalendo na kutangaza mabaya ya nchi zao na kuacha mazuri kwa lengo la kupata ufadhili.

Amesema, mashirika hayo yanayochipuka kama uyoga, yamekuwa yakiainisha mabaya ya nchi zao kana kwamba hakuna kitu kizuri kinachofanyika nchini, huku wengine wakijifanya kutoona mazuri kwa sababu tu hawawapendi viongozi walio madarakani.

Kikwete alisema hayo juzi wakati akizungumza na mamia ya wajumbe kutoka nchi za Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 100 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) unaohitimishwa leo jijini Geneva.

Alikuwa akijibu maswali kutoka kwa baadhi ya washiriki wa mkutano huo muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano huo ulioshirikisha nchi 185 wanachama wa ILO.

Miongoni mwa maswali aliyoulizwa, mojawapo ni la mjumbe wa Cameroon, Bissala Isaac, aliyesema vyombo vya habari vimekuwa vikiandika mambo mabaya ya Afrika licha ya kwamba yapo maendeleo, huku viongozi wa nchi husika wakishuhudia bila kuchukua hatua.

Akimjibu, Rais Kikwete alisema hilo lipo, ingawa upo wakati vitakuja kubaini kwamba Afrika haitaendelea kuwa Bara la kuandikwa habari zisizopendeza.

“Afrika si ile ya miaka 30 iliyopita. Angalia nchi zetu; mfano Tanzania, tulikuwa na wahitimu wa chuo kikuu 12, lakini sasa tunazungumzia watu 124,000 wanaosomea shahada vyuo vikuu,” alisema.

Rais ambaye alitumia mifano ya Tanzania kuelezea suala hilo lakini bila
kutaja ama aina ya mashirika au watu wanaofanya hivyo, alisema tatizo
lililopo ni kuangalia mambo kwa kuzingatia NGOs zinazochipuka kutoka Ulaya, zenye mtazamo hasi kwa yanayofanywa na Serikali zao, wakilenga kupata misaada.

Akiendelea kutoa mfano wa maendeleo katika Tanzania, Rais Kikwete alisema, “tulitegemea wahandisi watatu … hadi sasa bado tuna tatizo hilo? Ni kilometa ngapi za barabara za lami tunazo? Wakati ule hazikufika hata kilometa 100 lakini sasa tunazungumzia kilometa zipatazo 7,000.

“Kwa kuwa mwanaharakati mmoja kapigwa na polisi, basi suala hilo linafanywa kuwa la kitaifa. Wanachojaribu kufanya ni kusema mabaya ili wafadhili wawape fedha, ukisema mazuri hupati,” alisema na kuendelea kushangiliwa.

Umati uliendelea kumshangilia kwa kupiga makofi zaidi aliposema, “uzalendo katika nchi zetu unapaswa ujengwe miongoni mwa wananchi. Si kusema mabaya pekee ya nchi. Hebu jaribu kumsema vibaya Obama (Barack-Rais wa Marekani) usikie; magazeti yote na hata yale ya kihafidhina yatakuandama. Lakini kwa Afrika, wanajivunia kusema mabaya”.

Wakati huo huo, Rais Kikwete alisema ipo changamoto kubwa ya kuwa kiongozi katika nchi masikini.

Akijibu swali la mjumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambaye pamoja na mambo mengine, alihoji sababu za viongozi wa Afrika kutoweka mikakati ya uwekezaji, Rais Kikwete alisema ingawa binafsi anataka nchi ikue kiviwanda, vipo vikwazo pia.

Kwa mujibu wake, suala si kwamba hakuna malighafi, isipokuwa uwekezaji mkubwa unahitaji fedha nyingi. Alisema nchini hakuna benki za mitaji na matokeo yake, chache zilizopo ni za biashara hali ambayo inakwaza juhudi za kuhamasisha maendeleo ya viwanda.

Hata hivyo, alizihimiza nchi za Afrika kuwa kinachohitajika ni kuunganisha raslimali na kusaidiana. Alisema ana matarajio makubwa, kwamba katika miongo miwili ijayo, watakaokuwapo, watashuhudia mabadiliko makubwa barani.

Katika hatua nyingine, Rais alipokuwa akihutubia mkutano wa ILO, pamoja na mambo mengine, alisema panahitajika ushirikiano wa Serikali, jamii ya
wafanyabiashara, asasi za kijamii na wabia wa maendeleo kuhakikisha kasi ya
kutengeneza ajira katika nchi zinazoendelea inaongezwa.

Alisema tatizo la ajira linawakumba zaidi vijana katika nchi zinazoendelea na nyingi
zinazotolewa chini ya sekta binafsi hazikidhi mahitaji ya kazi za staha. Alisema wengi wanaingia kwenye sekta binafsi si kwa kuichagua, bali kujikimu.
 
RAIS Jakaya Kikwete amewashutumu watu na hasa asasi zisizo za Serikali (NGOs) kwa kukosa uzalendo na kutangaza mabaya ya nchi zao na kuacha mazuri kwa lengo la kupata ufadhili. Amesema, mashirika hayo yanayochipuka kama uyoga, yamekuwa yakiainisha mabaya ya nchi zao kana kwamba hakuna kitu kizuri kinachofanyika nchini, huku wengine wakijifanya kutoona mazuri kwa sababu tu hawawapendi viongozi walio madarakani.

Kikwete alisema hayo juzi wakati akizungumza na mamia ya wajumbe kutoka nchi za Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 100 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) unaohitimishwa leo jijini Geneva. Alikuwa akijibu maswali kutoka kwa baadhi ya washiriki wa mkutano huo muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano huo ulioshirikisha nchi 185 wanachama wa ILO. Miongoni mwa maswali aliyoulizwa, mojawapo ni la mjumbe wa Cameroon, Bissala Isaac, aliyesema vyombo vya habari vimekuwa vikiandika mambo mabaya ya Afrika licha ya kwamba yapo maendeleo, huku viongozi wa nchi husika wakishuhudia bila kuchukua hatua.

Akimjibu, Rais Kikwete alisema hilo lipo, ingawa upo wakati vitakuja kubaini kwamba Afrika haitaendelea kuwa Bara la kuandikwa habari zisizopendeza. “Afrika si ile ya miaka 30 iliyopita. Angalia nchi zetu; mfano Tanzania, tulikuwa na wahitimu wa chuo kikuu 12, lakini sasa tunazungumzia watu 124,000 wanaosomea shahada vyuo vikuu,” alisema.

Rais ambaye alitumia mifano ya Tanzania kuelezea suala hilo lakini bila kutaja ama aina ya mashirika au watu wanaofanya hivyo, alisema tatizo
lililopo ni kuangalia mambo kwa kuzingatia NGOs zinazochipuka kutoka Ulaya, zenye mtazamo hasi kwa yanayofanywa na Serikali zao, wakilenga kupata misaada. Akiendelea kutoa mfano wa maendeleo katika Tanzania, Rais Kikwete alisema, “tulitegemea wahandisi watatu … hadi sasa bado tuna tatizo hilo? Ni kilometa ngapi za barabara za lami tunazo? Wakati ule hazikufika hata kilometa 100 lakini sasa tunazungumzia kilometa zipatazo 7,000.

“Kwa kuwa mwanaharakati mmoja kapigwa na polisi, basi suala hilo linafanywa kuwa la kitaifa. Wanachojaribu kufanya ni kusema mabaya ili wafadhili wawape fedha, ukisema mazuri hupati,” alisema na kuendelea kushangiliwa.


Umati uliendelea kumshangilia kwa kupiga makofi zaidi aliposema, “uzalendo katika nchi zetu unapaswa ujengwe miongoni mwa wananchi. Si kusema mabaya pekee ya nchi. Hebu jaribu kumsema vibaya Obama (Barack-Rais wa Marekani) usikie; magazeti yote na hata yale ya kihafidhina yatakuandama. Lakini kwa Afrika, wanajivunia kusema mabaya”.

Wakati huo huo, Rais Kikwete alisema ipo changamoto kubwa ya kuwa kiongozi katika nchi masikini. Akijibu swali la mjumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambaye pamoja na mambo mengine, alihoji sababu za viongozi wa Afrika kutoweka mikakati ya uwekezaji, Rais Kikwete alisema ingawa binafsi anataka nchi ikue kiviwanda, vipo vikwazo pia. Kwa mujibu wake, suala si kwamba hakuna malighafi, isipokuwa uwekezaji mkubwa unahitaji fedha nyingi. Alisema nchini hakuna benki za mitaji na matokeo yake, chache zilizopo ni za biashara hali ambayo inakwaza juhudi za kuhamasisha maendeleo ya viwanda.

Hata hivyo, alizihimiza nchi za Afrika kuwa kinachohitajika ni kuunganisha raslimali na kusaidiana. Alisema ana matarajio makubwa, kwamba katika miongo miwili ijayo, watakaokuwapo, watashuhudia mabadiliko makubwa barani. Katika hatua nyingine, Rais alipokuwa akihutubia mkutano wa ILO, pamoja na mambo mengine, alisema panahitajika ushirikiano wa Serikali, jamii ya wafanyabiashara, asasi za kijamii na wabia wa maendeleo kuhakikisha kasi ya kutengeneza ajira katika nchi zinazoendelea inaongezwa. Alisema tatizo la ajira linawakumba zaidi vijana katika nchi zinazoendelea na nyingi zinazotolewa chini ya sekta binafsi hazikidhi mahitaji ya kazi za staha. Alisema wengi wanaingia kwenye sekta binafsi si kwa kuichagua, bali kujikimu.

Habari Leo
 
Viongozi wa nchi za kiafrika wanapenda sana kusifiwa, lakini hawako makini kutunza heshima wanazopewa kutokana na umangimeza. Haki za kibinadamu zinapokiukwa kwa viongozi wa kiafrika wanawageuka waliokuwa wanawakimbilia na kuuza sura zao. Kikwete amekuwa na kawaida ya Marekani kuwa Ikulu ndongo lakini leo amegeuka kwamba ukimsema Obama utasakamwa lakini afrika wanaona mabaya tu. Mbona kabla walikuwa wanaongelea mazuri hakulalamika, na leo utawala wake unakwenda kinyume cha haki za binadamu anaanza kuwageuka?
 
good, unajua hata tulipokua tunasoma ikifika wakati tumeharibu shule tulikua tunalaumu kuanzia siblings, wazazi walimu na hata majirani.... I fail to understand mtu ambaye tangu mwanzo amekua mstari wa mbele kuomba na kusafiri leo anashindwa kuelewa ni mbegu gani alikua anapanda

Alijianika sasa anaanikwa
 
kikwete goes on showing how not responsible he is,simply he doesn't know what to do so as at least to lead a nation in a right truck.Na alivyo kuwa na mtazamo finyu he goes keep on defending by ignoring the reality rose by Donors and NGO's.
amejaa kujiona yani uona na kutaka tuone uongozi wake ni bora ili khali ni mbovu..!

Atamdanganya nani kwa kusema ooh...eti linganisha education sector from b4 and now..ni kujisifia bila hata haya..cause we focus on increase at increase rate not at decreasing rate.....b4 it was better that now for matter of factors..like..technology,population growth to exploit the resources how it impact to our economy development....!
ooh km za lami ..what about ring road/flying over ambapo jirani zetu hao kenya wanakaribia kumaliza ujenzi..!
Anaudhi sana anapokuwa na kiburi cha kijibu ovyo anapokosolewa..!

tunajua walianza Viongo wa dini kwa ku alert kuwa ugumu wa maisha unaoashiria uvunjifu wa amani....hata kusababisa mauaji...unatokana na serikali kukumbatia baadhi ya viongo wabadhilifu/mafisadi....majibu yake tena bila kuheshimu kanisa eti..oh kuna wenzenu tumewakamata wanajihusisha na biashara haram ya unga....?wataje kimya eti mjisalimishe wenye...so what for..?yeye yupo kwa ajili ya nini..?poor prezde.

Donor..USA,UK and NGO's..anazilamu kisa kuambiwa ukweli kwamba Tanzania haijaonyesha seriousl efford of archieving millenium development goals with a deadline 2015...cause of poor infrastructure,poor education, fund management and control ..EPA,RICHMOND na hii mpya ya sitting allowance etc....uki compare na jirani zetu in relation na madhumu ya kweli ya kujikwamua kuondokana na wimbi la umasikini...bado anajibu ovyo tena bila hata haya ete...BA(UK)...rada fraud wanaidirect kwa NGO's baada ya NGO's kuongea mabaya ya nchi chni ya uongozi wake...?
Wanajamii pamoja na watanzania kwa ujumla tuone wazi kuwa hayupo ambaye hapendi kuisemea mazuri nchi yake ughaibuni kama anavyodai huyo mnafki haya anadiriki hata ananifanya nimdharau....ila hayapo mazuri ya kusema..!

Na NGO's zastahili zipongezwe kwa kazi nzuri kwa kufanikisha kupata ufadhili wa hiyo miradi kutoka kwa hao wafadhili na kutuletea angalau unafuu...?
WATANZANIA
TUNA KILA SABABU,YA KUWEKA NIA NA MIKAKATI HATIMAYE KUIONDOA MADARAKAN HI SIR KAL YA CCM KWANI HAIPO RESPONSIBLE.....
Majibu ya waziri mkuu kuhusu posho yanakera sana...ni kweli na sahihi kusema eti ..ni suala dogo tu ...kwa kejeli kabisa na bila hata aibu eti iyo posho wanazopewa wabunge huzitumia katika kuwasaidia wananchi kwenye majimbo yao au nje ya majimbo.??JE,na hwa maofisa wa serikalini na wazipeleke kwenye majimbo??..kwa mkatataba upi??ivi kweli huyu waziri mkuu anatufaa??
KWA NA ILE HOJA YAKE YA WATUMISHI KUEPUKA MATUMIZI YA VX NI UNAFIKI TU?
 
Kwako Mh. Raisi,

NGO's nyingi zipo kuleta maendeleo ya kijamii na kuziba nyufa ambazo zimeachwa na serikali. Wanafuata mfano wa serikali wa kutafuta maendeleo kupitia misaada. Utaombaje misaaada bila kuonyesha umasikini wako? Au mheshimiwa ukiendaga nje kuomba misaada unawaambiaga Tanzania kama Ulaya?

Onyesha mfano ili wengine wafuate.
 
JK haelewi anachoongea

Natamani nilale niamke November 2015 sema sijui Mungu kanipangia muda gani duniani kwa hiyo bora nijitahidi tu hivyo hivyo kulisaidia taifa na kuendelea kuvumilia kusikia "speeches" za bwana mkubwa. Yani hii miaka 10 tuliyo poteza hatutakuja kurudisha tena.
 
Hivi kweli Tanzania kuna mazuri gani ya kuyatangaza USA. Labda wenzetu mnaoka Dar tena ndani ya ikulu. Lakini sisi huku porini Mbozi ! Hatuna kizuri cha kuwashangaza wazungu na "mficha maradhi kifo kitam-expose".
Kizuri tunachojivunia hapa nchini ni yule "babu" wa Loliondo tu vingine vyote ni uozo.
Kama wadhani ni ulongo sikiliza au tazama mijadala ya bunge(wa)
 
Back
Top Bottom