Bi. Fatima Matola: Mama mpigania uhuru wa Tanganyika asiyefahamika

Unaleta chai! Kasome discourse analysis uone namna gn mjadala inavoendeshwa! Vingnevyo ntaomba niishie hapa. Nakuuliza hiki unajibu kile....wap n wap? Unasema unataka nijue km na wew Fundi hahaaa so what!? Uo nd Msingi wa mjadala Wetu sasa mufti!? Unaulizwa Unafahamu km waislamu wanaamini vitabu 04?! Unavunga vunga tu! Porojo nyingiii ili nikuone Unajua na wew! Ili iweje sasa!? Ukiwa tayar njoo ntaendelea n wew.
Zaid ya Hapo am done with u
 
Habari nzuri
 
Du
 
Tatizo linakuja kwamba Adam is a myth, the oldest human history have been traced back to Africa.....
 
Ni afadhali mimi mjinga maana naweza elimika.... Wewe ni mpumbavu ashakum si matusi. Sijui nani katoa kashfa hapo. Na dini yangu huhifaham ndo maana ambaye alitaka kubishana nami nmemuelezea kwa vifungu.wewe maamuma hujui unachopinga na huna hata hoja. Mwenye akili kule mwanzo alinielewa akamaliza mjadala. Wewe maamuma usojua a be che ndo unakuja na hii conclusion. Anyway... Nitajiabisha sana kujibishana nawe.

Sikujua kama ni mpuuzi kiasi hiki ndugu yangu kwani hata ukiwa si muislam huna haja ya kutoa kashfa kama hizo, acha ujinga
 
Nmekuelewa ndugu mohamed said. Sikukuita kwa nia mbaya. Niwie radhi kwa hilo. Tutaendelea kukutana humu kwa ajili ya ku gawana ilimu kadhaa wa kadhaa.


GuDume,
Mimi elimu yangu bahati mbaya sana ni ya sekula si katika Uislam wala mimi si sheikh bali ni Muislam wa kawaida tu.
 
Mohamed Said mchango wa watanganyika katika kupiganja uhuru ulikuwa kwa msingi ya utaifa wao au imani zao za kidini?
Mzawa Halisi,
Swali lako ingekuwa nimeliuliza mimi ningeuliza hivi: Kwa nini Waislam
walikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
 
Mzawa Halisi,
Swali lako ingekuwa nimeliuliza mimi ningeuliza hivi: Kwa nini Waislam
walikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
Mohamed Said
Uelewa wangu ni kuwa watanganyika ndiyo waliopigania uhuru wa nchi hii. Ndiyo maana nimetaka kujua toka kwako mwana historia, je kulikuwa na jamii zilizojipambanua tofauti ya utanganyika katika kudai uhuru?
 
Ni common sense tu.
Mwanasiasa unafikia kwa watu wanaokubalika sehemu ile.
Nyerere alikuwa makini, angeweza kufikia mission za Maburuda na Mafather kwa vile alikuwa mkatoliki safi.
Lakini je kwa watu wanaopigania uhuru, wananchi wa kawaida ambao angewahutubia siku inayofuata wangemuelewa?

When in Rome, do as the Romans do.
 
Mohamed Said
Uelewa wangu ni kuwa watanganyika ndiyo waliopigania uhuru wa nchi hii. Ndiyo maana nimetaka kujua toka kwako mwana historia, je kulikuwa na jamii zilizojipambanua tofauti ya utanganyika katika kudai uhuru?
Mzawa,
Kila kitu kitu kina historia na chanzo chake haiwi tu kuwa Watanganyika ndivyo waliopigania uhuru.

Nchi ni Tanganyika hivyo haiwezekani Wakenya ndiyo wapiganie uhuru wa Tanganyika.

Suali linalofuata litakuwa ni Watanganyika gani walipigania uhuru na hapa tutataka kuwajua kwa majina na historia zao.

Mimi nakuuliza swali.

Shule umefundishwa kitu gani katika historia ya uhuru wa Tanganyika?
 
Matatizo tuliyokuwa nayo sisi watu wa JF ni kubadilisha muelekeo wa mada, mtoa mada kaleta mada nzuri watu tujadiliane na kufahamishana mara naona tumetoka nje ya mada, bora tuwe tuna-focus juu ya mada husika ili tufaidike.
Gudume na IphoneX tufunguwe mjadala mwingine wa hiyo mada mnayotaka kuiendeleza na in shaa Allah nasi tutachangia kwa yale tunayoyajua na kwa thread hii bora iendelee kama ilivyokusudiwa. Mtanisamehe kama ikiwa nimemkwaza mtu.
 
Jidu,
Unarahisisha kufikiri kwako.

Wamishionari ndiyo waliompa sharti gumu Baba wa Taifa kuwa katika mawili achage moja siasa au ualimu.

Uamuzi wa tatizo lile hakulifanya peke yake.

Mtu wa karibu sana na yeye alikuwa Abdul Sykes na akamfahamisha mambo yaliyojiri huko misheni.

Abdul bila kusita akamwambia aache kazi.

Tatizo hili na barua ile kutoka Misheni ikajadiliwa na Kamati Kuu ya TANU chini ya Mwenyekiti Clement Mohamed Mtamila.

Mtamila akiishi Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist) na Sikukuu.

Mmoja wa wajumbe wale akiwa Bi. Tatu bint Mzee.

Uamuzi ulikuwa aache kazi Baba wa Taifa na ataajiriwa na TANU.

Nyerere akajizulu kazi ya ualimu na akaja kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley (sasa Mtaa wa Max Mbwana) na Sikukukuu.

Ingewezekana vipi Wamisheni wamfukuze kazi kisha wampe nyuma ya kuishi Msimbazi Centre?

Niko njiani In Shaa Allah nikirudi maskani nitakuwekeeni picha mpate kuona hali halisi ilivyokuwa wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Picha unayotaka kueleza ni batili.
Kuwa Mwalimu aligikia kwa waislamu tu kote alikoenda, huu si ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…