Bi. Fatima Matola: Mama mpigania uhuru wa Tanganyika asiyefahamika

Bi. Fatima Matola: Mama mpigania uhuru wa Tanganyika asiyefahamika

Jidu,
Simlazimishi yeyote kuamini historia hii niielezayo mimi.
 
Jidu,
Simlazimishi yeyote kuamini historia hii niielezayo mimi.
Kuna vitu vingi najifunza mzee wangu, ukiachana na historia halisi unayotupa lkn najifunza namna tunavyweza kuelekezana,kubishana bila hata kutumia lugha za kuudhi jazba na mihemko.unaelekeza, na kujibu hoja wew wala sijapatapo kuona ukimshambulia MTU badala ya hoja na hata ikitokea bs ni kwa makosa ya kibadaamu tu.
Nafkir km vijana kuna la kujifunza hapa....tukishindwa kuamini tasnifu zake na vitabu alivyotoa juu ya historia ya Tanganyika bs tuige hata namna ya uandishi wake na vile anavojitahidi kujielekeza kwenye hoja na sio MTU
 
Jidu,
Simlazimishi yeyote kuamini historia hii niielezayo mimi.
Ndugu WanaMajlis,
Niliahidi kuweka picha za hali ilivyokuwa siku za mwanzo za kuanza
harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

upQIz1bgfTzF54XkoPJcyc93vPPQpc8To4uTMvbedJmwpIHtPbjtiJ7nwoTHkFR_ml7l4qPjW4nM21icZYR2ILpTxeUrUwJkVo_IOnuIMDbvq5ttg5EGIEXMXCbVm9XGH34HuhWY1SMjxSTU_6T0PePamesRGvJFg_67MKJRdQ0QXzs3d5fs9cq-ibC0M7QkrEFJT9dZo6JIIMpGnXAQVhXjZNbExDSQSC2AxRYT6uVES4IdGjeEWQO-0AtKare1Lsv4Pnq6r17Fezyy_LAshmuHCbsg9geMGxwyCfXiSAgnTcKGOURvTNSIqV6tNl4mdUxtxTi7ckyedDpfm4MrL3d4q7GjFIvBWJDrIX1FAIbwTuDU-KuLBFprRIYibIGwLpMhmm6iNDDq3qk0no5GiWhRBX3OZY5KVaf9jtcFFfhA1l7aG75qkQJ4pWItZLWviLw3E08rqOgusoCrH4mwsreNCw6QTeF8AAUhmGDcnvtEGk2bstVjrMiqCqWRTb9woSgAeHBTxgY4DSFSURUDNMph3AJQTV-qowM3dk7OmNn3ugChL-zLBpeBmPkxfFwCZ6o2OJxASCzM0Lv9eI4O1DFS-hUsfLqLsC1qanVa=w652-h404-no

Kushoto ni Bi. Tatu bint Mzee na akina mama wengine wakimsindikiza Baba wa Taifa safari ya
kwanza UNO 1955.

WeysUjuzC6IGqxBJVOWG_AWuOabVyafUdhNY66BXTrueYIB9yfa8DUM6GNXe_KYwVjecLleFdhvQe5UzLrY_bjX1CpzyNm6zZMuGKCOUe08UqGptMbb0f9BeUzYTZcwrRG5R4h_-lYv89KMy1gitz_8WKZcsGxJmwPmMyH7BcbA_PrbsDYPuaBCKXh1z6yGJ5mHK-5Df_NljB_ugfKjhV72Ah7mbzhXZmlRRjqWvCcFgGoJdJYdQvUijqM8PggSqlTdFpW3dlJ7Y_QmuMEZLMGaw2Gsuy8_Bg22gmTeplDV6c2L8sfaN7-GmXVRHAJEQg-wk3inCCrx_d8dGgD-JqAyHCY2DGbwo8C3AMjvySbHyieXR0JkWzrGPcD1U34K4xXKvFB78NjHqremz8LmANWtUVEdQtIUYPhBgmcej4Cyxj2mfmQJyiV-NaC4WSuMnEdCWNhbFin0hOLGkoty3IOKeOstm-1RlTR1l2CzljnYHaZaMWI5yxLxcDt1AstL3WEd94ETEznd30r3wUs4eiDcpbge30UFLglBCgDESsl16j2umiQqTie46TXH5XEvitWCqh4lM-7lJF7hD-101BSl8k83eh9s7yzaRw6Pn=w297-h220-no

Kulia: Bi Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila,
Sheikh Suleiman Takadiri, Julius Nyerere. Nyuma kulia
John Rupia, Rajab Diwani na Mama Maria Nyerere, 1955

MSHUME%252C%2BMAX%2BMBWANA%252C%2BMWINJUMA%2BMWINYIKAMBI%2BNA%2BNYERERE.jpg

Kulia ni Mshume Kiyate, Julius Nyerere, Max Mbwana na
Mwinjuma Mwinyikambi, 1962

facebook_1425848560953.jpg

Kleist Sykes
 
Kuna vitu vingi najifunza mzee wangu, ukiachana na historia halisi unayotupa lkn najifunza namna tunavyweza kuelekezana,kubishana bila hata kutumia lugha za kuudhi jazba na mihemko.unaelekeza, na kujibu hoja wew wala sijapatapo kuona ukimshambulia MTU badala ya hoja na hata ikitokea bs ni kwa makosa ya kibadaamu tu.
Nafkir km vijana kuna la kujifunza hapa....tukishindwa kuamini tasnifu zake na vitabu alivyotoa juu ya historia ya Tanganyika bs tuige hata namna ya uandishi wake na vile anavojitahidi kujielekeza kwenye hoja na sio MTU
iphonex,
Mimi sikutegemea hata kidogo kama kitabu cha historia ya TANU
na uhuru wa Tanganyika kitakuja kupandisha ghadhabu za watu
wengi.

Kitu hiki hakikunipitikia si wakati wa utafiti wala pale nilipokaa
chini na kuanza kuandika.

Kitu kinachowakera wengi ni kule kuwaleta katika historia wale
ambao michango yao katika TANU na harakati za uhuru zilifutwa.

Lakini mimi nina yakini kwa kila nilichoandika kwa hiiyo sina sababu
ya kuhamaki na kuwa na ghadhabu.

Kile ninachokujua nitakieleza na ikiwa sikijui nasema kuwa sijui.
 
OK. Hv vitabu vyako hujaweka online ili tuweze kuvipakua km ilivo cha "Kwa hero Uhuru, kwa hero ukoloni"!?
Halafu ktk kitabu cha kwa hero Uhuru kuna MTU katajwa anaitwa Omari Kopa ambaye ndiye alokuwa nahodha bi maana alikuwa akiwasafirisha watu kutoka Tanga- unguja. Hv ana udugu na muimbaji wa taarabu bibie Hadija Kopa!? Tafadhari naomba km itakupendeza unijuze
 
ihphoneX,
Hicho sina taarifa kuwa katika kitabu hicho kuna jina hilo.
Vitabu vyangu havipo online.
 
Back
Top Bottom