peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Nilikua sijui mkuu! Tuko Eda huko na Chura kiziwi tuko busyMbona keshazikwa mkuu,
Unamfahamu halafu hujui nini kinaendelea?
Hiyo Eda is which?
Nimecheka sanaNilikua sijui mkuu! Tuko Eda huko na Chura kiziwi tuko busy
Nigeria hua wanaweka sebeneWaislamu hawanaga
Mbwembwe kwenye Maziko
Siku iyo iyo unaenda kuzikwa ❗️
Heshima ya Marehemu ni kuzikwa alaka
Sio kutembezwa mitaani au majumba ya
Ibada yate ❗️
Maonyesho ya Marehemu
Ndio wanaita Kumpa
Heshima Maiti ‼️‼️
Kufa kupo kwanini kuwe na Maonesho
Ndiomana Odinga alitaka baada kufa
Wafanye alaka kumzika Ebo !!!
Viongozi wa Dini kwao misiba
ni Dili
Na Sherehe kubwaa‼️‼️
Wakufanyie Sherehe baada kufa kwako😡
Watu Tuserebuke kwa Sherehe
Uku tukiwaza ulivyo
tuwachia ❗️
Hakika.Heshima ya Marehemu ni kuzikwa alaka