Bi Fatma Karume aliyefariki dunia, Septemba 21, 2026 anazikwa lini?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Huku tuko Eda! Na shughuli za kiserikali kila mtu ni msemaji wa serikali, Ila ninauliza tu?
 

Attachments

  • IMG-20260921-WA0111.jpg
    43.6 KB · Views: 6
Waislamu hawanaga
Mbwembwe kwenye Maziko
Siku iyo iyo unaenda kuzikwa ❗️

Heshima ya Marehemu ni kuzikwa alaka

Sio kutembezwa mitaani au majumba ya
Ibada yate ❗️

Maonyesho ya Marehemu
Ndio wanaita Kumpa
Heshima Maiti ‼️‼️

Kufa kupo kwanini kuwe na Maonesho

Ndiomana Odinga alitaka baada kufa
Wafanye alaka kumzika Ebo !!!

Viongozi wa Dini kwao misiba
ni Dili
Na Sherehe kubwaa‼️‼️

Wakufanyie Sherehe baada kufa kwako😡
Watu Tuserebuke kwa Sherehe
Uku tukiwaza ulivyo
tuwachia ❗️
 
Nigeria hua wanaweka sebene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…