Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Ilikuwa kwa upande wa akina mama wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika nafasi ya kuongoza umma kwa akina mama chini ya TANU ishikwe na Bi. Halima Hamisi au Bi. Titi Mohamed.
Bi. Halima wakati ule miaka ya 1950 alikuwa msichana mdogo na mwalimu wa Qur'an akiendesha madrasa yake mwenyewe Mtaa wa Kariakoo.
Ni ipi historia yake?
Nini sababu ya historia ya uhuru kukosa shukurani kwa wazalendo kama hawa kuwa juu ya michango mikubwa waliyotoa leo hawafahamiki?