Bi harusi aliyetoroka apatikana


Haaaaa nimecheka sana nilipofika hapo kwa red kabla hata sijamaliza kusoma ulichoandika!!!!
 
Huyo bibi harusi ananipa impression ya double dealer.Si ajabu
alikuwa na mwanaume mwingine walioahidiana kuoana na alipoona familia
ya Machange inaharakisha harusi, mdada kachanganyikiwa!

Nimekuelewa sana Mkuu maana hata mimi kanishangaza na pia eti alidai kupinga kufunga kwao kwa harusi hiyo.
 
Hizo iman za kishirikina aiseee iliwahi kutokea best angu tena alikimbia kanisani kumbe Kijana alizaa na msichana AF akamtelekeza ,msichana kikamuuma amex hang any I miss mpaka Leo ,Kijana hakuoa wala binti akil co nzur
 
Mambo mengine ni usanii mtu kama alikuwa hayupo tayari kuolewa walikuwa wanamlazimisha wa nini.ntaenda hapo seliani kuongea naye leo huyo mwanamke
 

Hauna mke hapo,mpo wengi afu unajisifia,shame on u..
 
ibra87 hope umesoma comments za humu na umejifunza kitu shem
 
Last edited by a moderator:
🤣🤣🤣🤣 Daaah inachekesha asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…