Bi harusi aliyetoroka apatikana

Bi harusi aliyetoroka apatikana

Huyu kuna siri anayo moyoni.
Maana alishaomba harusi ihairishwe zaidi ya mara 10,
Kuna kitu anakificha hapa, hajalogwa wala kutupiwa jini
 
Ndio mimi sipendi mambo ya harus, sijui anamelemeta! dem umekuja kwa kazi unapewa funguo nikukute nyumbani iyo ndio imetoka, kesho asubuhi natuma mtu kwao msimtafute niko nae watu wengine kuja kupata taarifa ana mtoto au ameanza kuaribu kuta za watu
 
Isije ikawa:
1. malaria imepanda kwa kichwa

2. Sayansi ya kiafrika imetumika.... hapo bwana harusi abanwe na ahojiwe vizuri alimmwaga nani ili amuoe huyo

Acha tu hizi sayansi za kiafrika balaa.Nakumbuka rafiki yangu alihudhuria sendoff ya ndugu yake.Wakiwa ukumbuni mda wa chakula umefika, kila anaeenda kuchukua chakula anafunga pua chakula kimeozeshwa kinanuka hakifai. Kuja kufatilia mwanaume hakupanga kumuoa huyo alie muoa kuna nguvu zilitumika.
 
Ana Bwana mwingine huyu alikuwa anayempenda hapo alitaka kutimiza wajibu tu, upande wa pili ukatiki akakimbia
 
Yaani kwenye send off alikua happy like everythings its okey, halafu katika huo huo ukumbi aliofanyia kuna binti mwingine alifanyia send off hapo hiyo jumamosi hakuna hata ndugu mmoja wa upande wa mwanaume aliyekuja including bwana harusi mtarajiwa.
 
Inawezekana familia imetengeneza movie ya kukutwa amechanganyikia kuepuka aibu na kurudisha gharama za bwn harusi!!!huyo Dar alikua hataki kuolewa period
 
Ndio mimi sipendi mambo ya harus, sijui anamelemeta! dem umekuja kwa kazi unapewa funguo nikukute nyumbani iyo ndio imetoka, kesho asubuhi natuma mtu kwao msimtafute niko nae watu wengine kuja kupata taarifa ana mtoto au ameanza kuaribu kuta za watu

Upo Sawa Kabisa.
 
Aliamua kutoroka ili kuvuruga ndoa. hakuwa na furaha na mpenzi wake. ushahidi wa kuwa ametoroka, ni maombi yake ya kuahirisha zaidi ya mara 10
 
Hayo yanatokea, Mke wangu siku moja kabla ya ndoa alikuwa mkali kwangu kupindikua, alivyotulizwa nami pia kuanza kumfokea akanyamaza, kumbe alikuwa anapanga kutoroka Usiku. Alimshirikisha mpambe wake mmoja ambaye hakukubaliana naye hivyo kiripoti kwa Mchungaji wake, naye alimtaka kuonana naye Usiku ule na kufanya naye maombi. Asubuhi akarudisha Upendo akapekekwa saluni Jioni Ndoa. Amekuja kunihadithia baada ya siku tatu, mpaka Leo hajui kilichokuwa kinampelekesha! Wote tunahisi x-relation either parts zili influence remotely! Maombi jamani, wengime wameolewa na majini hivyo yana wivu!
 
Kama Jose alikuwa na wife kabla na walikua na mtoto/watoto .....1. Je Doroth alikua anajua hilo? 2. Huyo X-wife alikua anajua bwanake amebadili gia angani? Visasi vinaweza kupata mlango wa kuingilia apo..
 
Isije ikawa:
1. malaria imepanda kwa kichwa

2. Sayansi ya kiafrika imetumika.... hapo bwana harusi abanwe na ahojiwe vizuri alimmwaga nani ili amuoe huyo

Mkuu kaomba iahirishwe zaidi ya Mara kumi, kaaga anaenda kujisaidia akaomba apelekewe kanga na tishu, kaondoka kwa bodaboda kamlipa driver na kupanda gari ya abiria ana akili timamu huyo hakuna jini wala shetani alikuwa na mipango yake huyo
 
Hapo bado ndoa akiingia ndani siitakuwa taabu tupu huyu Bi harusi mtarajiwa sidhani kama ni mke mwema ingekuwa mimi ndio mwoaji hakika ningestisha moja kwa moja mipango ya ndoa.
 
Back
Top Bottom