Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

Kabisa yaani huyu bibi Faiza ana roho mbaya muda wote anawaza kuchinjana tu
Bi hindu na mwenzake Bi chau hawa ni wazee wenye miili mizuri wanazeeka na utamu wao.
Wana mapendo kwakweli mioyo yao ina amani

Kuna mwingine full visirani sasa hivi hata hajazidi 45 ameshaota makunyanzi FaizaFoxy
 
Oh boy! Standard Sevel leaver in 1998?
 
Wanadamu wote asili yao ni udongo kwa mujibu wa hekaya za dini...

Na udongo watofautiana upo wenye rutuba na usio na rutuba, kwa lugha nyingine upo mzuri na usio mzuri...
Kwani asili yetu kwa mujibu wa vitabu vya dini,si tulitokana na Adam na Hawa? Origin yetu ni kwa watu walewale tu,huo utofauti wa udongo unatoka wapi tena mkuu?
 
Ni msemo tu kutofautisha muonekano wa watu...

Mathalani asili ya watu wote ni Adam na Hawa, lakini kuna utofauti baina yetu kama Waarabu, Wachina, Waafrika, Wahindi, Wazungu n.k...

Vivyo hivyo hata siha zetu hazilingani..
.
Kwani asili yetu kwa mujibu wa vitabu vya dini,si tulitokana na Adam na Hawa? Origin yetu ni kwa watu walewale tu,huo utofauti wa udongo unatoka wapi tena mkuu?
 
Sidhani kama Mkapa amezaliwa 1938 maana hajafikisha miaka 80 bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…