Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
Mkuu wote wale ulokuwa nao,bado unataka niwe mjukuu wako tena....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naweza nikawa babu yako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wote wale ulokuwa nao,bado unataka niwe mjukuu wako tena....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naweza nikawa babu yako mkuu
Kwa uandishi huu, naomba nihitimishe kwa kusema kwamba, wewe ni mwenyeji uliekuja na ID mpya.....
Sawa, ebu basi naomba uijibu pm yangu ili tuone jinsi gani unaweza nifanyia wepesi...Sawa. Thank you.
Mkuu una uzito kwani😂😂😂😂Sawa, ebu basi naomba uijibu pm yangu ili tuone jinsi gani unaweza nifanyia wepesi...
Nakuona kama sio mgeni machoni pangu!
Nimeona tu niwahi nafasi kabla haijajaa kwa huyu mgeni...teteehhMkuu una uzito kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuma maombi maana yupo kwenye uchaguzi asahivNimeona tu niwahi nafasi kabla haijajaa kwa huyu mgeni...teteehh
Kuche!!!Karibu Sana Bi khadija kwanza kabisa pole kwa Swaumu pili nasubiri umalize mfungo tukutane PM kwako tuyajenge
Tuma maombi maana yupo kwenye uchaguzi asahiv
Labda atembee na Viatu Vya SamakiKaribu Jf, ila angalia usitembee bila viatu humu kuna miiba
Wakubwa mnafaidi😂😂😂Tayari nipo nae chemba....hahaahaaa
Wakubwa mnafaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama wakubwa mnafaidi kwa macho,nani anayefaidi kwa kula😂😂😂Tunafaudu kwa macho tu, kama kula ugali wa kulumangia kwa picha ya samaki......