Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,126
umenichekesha sana mtu wangu.dizaini ya kinyonga kabisa.amekuwa kama kinyonga flani na hizo rangi....:becky:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenichekesha sana mtu wangu.dizaini ya kinyonga kabisa.amekuwa kama kinyonga flani na hizo rangi....:becky:
oooh jamani kizee cha watu huku kinafata nini? Anatafuta mhogo wa jang'ombe au? Nadhani anatakiwa apumzike au atumbuize kwenye sehemu zisizo na kashikashi za namna hii,
:smile-big::smile-big::smile-big:Beauty huyu hauwezi muhogo wa Jang'ombe bana, atajifia bure!
anamfwata amada kwenye kampeni