Kenya 2022 Bi. Martha Karua na siri ya Ushindi wa Urais wa Mzee Raila (Baba)

Kenya 2022 General Election
Mimi kama Nabii niliona Wiki Tatu zilizipita Raila odinga akiapishwa kuwa Rais wa Kenya baada ya Uhuru Kenyata kumaliza muda wake , Hongera saana mzee Raila Odinga ............Tenda haki katika utawala wako......
Sidhani kama uko sahihi mimi sio matajiri lakini kabila kubwa kama wakikuyu.kuchagua mjaluo sio rahisi hata Raila angwekwa mgombea pekee wakikuyu wasingempa kura
 
Uchaguzi wa Kenya,mwaka huu,unaweza ukatawaliwa na rapcharapcha za hapa na pale,ila pamoja na yote hiyo,Raila anaonekana atashika nchi.Wampe tu Raila,kagombea maranyingi sana na kapoteza hadi baadhi ya wanafamilia kisa siasa,apewe tu.
 
mnaandika huku hamjui chochote na kwa taarifa huyo Raila hawez kumshinda Ruto maana wakikuyu wa mount kenya wengi wako kwa ruto na hao ndo huwa wanaamua nan awe Rais wa kenya subirin 9/8 ndo mtaelewa vizuri
Alipomuangusha Kibaki 2007 alikua na kura za Wakikuyu?? hata 2013 Uhuru alishinda kwa 50% tena aliifikia kwa gape la kura elfu 80 tu!! Sasa hao 50% waliobaki walikua wote Wakikuyu??

Nyanza na waluhya na wakamba tayari hapo ni kura million 7 akiibeba Nairobi kama siku zote plus Mombasa, Umasaini na baadhi ya mlima Kenya Hasa Meru na Kirinyaga sioni wapi Ruto akishinda.
 
mnajidanganya kama jeshi lilishindwa kufanya kaz 2007 huko kenya unafikir litaweza saiv kule heshima kwenye kura ni kubwa sio kama tanzania upumbavu mtupu
Jeshi lipi lilishindwa wakati kura ziliibwa wazi? Hata 2017 kura ziliibwa kupitia mfumo wa kielektroniki ndio maana server hazikufunguliwa mpaka Leo!!

Kweli Wana tume huru ila wizi wa kiserikali kuuzuia ni ngumu maana hata IEBC hawahusishwi kwenye wizi ni System tu inapambana kivyake
 
Ushindi wa Ruto utategemea upepo wa kisiasa kuanzia kesho,lakini ushindi wa Raila utatokana na kuwaunganisha Wakenya kuwa wamoja na kuondoa ukabila kutakako letwa na Martha Karua siku zijazo.
Ingawa lolote laweza kutolea na kupelekea kurudiwa kwa uchaguzi.
 
Ruto yuko busy kupambana na Uhuru badala ya Ruto!
 
Nabii uchwara km Ww Wa Nn

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Bi. Martha Karua Naibu Rais, na Raila Rais wa Kenya baada ya uchaguzi.​

Katiba ya Kenya inasemaje iwapo Rais akifa Akiwa madarakani?​

+254 angalieni yasiwakute yaliyowakuta Watanzania baada ya kifo cha mpendwa wao JPM.​

 

Bi. Martha Karua Naibu Rais, na Raila Rais wa Kenya baada ya uchaguzi.​

Katiba ya Kenya inasemaje iwapo Rais akifa Akiwa madarakani?​

+254 angalieni yasiwakute yaliyowakuta Watanzania baada ya kifo cha mpendwa wao JPM.​

Watabiri waliona Martha ndiye rais...atatolewa na ruto baada ya mchuano wa ruto na kalonzo

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Kenya mwaka huu wana kazi. Wakichagua timu ya Riala huyu mama ni kichomi wakichagua upande wa hustle ruto ni kisirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…