Bi Sandra afunguka kuhusu mumewe Shamte kuzaa nje ya ndoa

[emoji23][emoji23][emoji23]nan bi sandra au
 
Na hili ni tatizo kwa 80% ya wanawake
Wanakazania kuwekeza kwenye nywele na kucha tu
Hv huwa inasababishwa na nn hiyo?
Kwamba unakuta mwanamke hana radha??? Seems like unapoingia unakuwa km uko hewano tu ama? Yaan hakuna unachofeel kbs?
 
Tambaza ni ukoo ndugu...tafuta majina ya wazee waliokua bega kwa bega na mwalim kutafuta uhuru...utakutana na hilo jina
Ni kweli kabisa. Pale ulipo msikiti wa Tambaza nyuma kuna nyumba ya Mzee Tambaza. Haijawahi kuvunjwa wala kuuzwa. Ni kumbukumbu ya familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…