The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kinaendelea kushika kasi baada ya Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata hiyo
Leo Juni 29,2025 amechukua fomu na kukabidhiwa na Katibu wa chama hicho kata ya Iwawa Benjamin Mahenge.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Leo Juni 29,2025 amechukua fomu na kukabidhiwa na Katibu wa chama hicho kata ya Iwawa Benjamin Mahenge.