The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,186 Reaction score 4,940 Jun 29, 2025 #1 Kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kinaendelea kushika kasi baada ya Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata hiyo Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Leo Juni 29,2025 amechukua fomu na kukabidhiwa na Katibu wa chama hicho kata ya Iwawa Benjamin Mahenge.
Kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kinaendelea kushika kasi baada ya Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata hiyo Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Leo Juni 29,2025 amechukua fomu na kukabidhiwa na Katibu wa chama hicho kata ya Iwawa Benjamin Mahenge.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 29, 2025 #3 Sawa sawa
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,731 Reaction score 5,675 Jun 29, 2025 #4 Bwana Francis anarudi? Na kata ya Iniho kwa bwana Christopher Fungo kupoje?