Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza na Wananchi katika mkutano

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
25 March 2024
Muheza, Tanga

Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa​

CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA

Kamanda Yosefa Komba aitisha mkutano kuzungumza na wananchi wanaokabiliwa na changamoto nyingi ambazo hazifuatiliwi na mkurugezi wa wilaya wala mbunge wa sasa aliyeingia kupitia uchaguzi uliovurugwa 2020

Source : RAI TV
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=23VjK8gouCg

Kamanda Yosefa Komba aitisha mkutano kuzungumza na wananchi wanaokabiliwa na changamoto nyingi ambazo hazifuatiliwi na mkurugezi wa wilaya wala mbunge wa sasa aliyeingia kupitia uchaguzi uliovurugwa 2020

Source : RAI TV

Huyu bint bado yupo? Long time sana, anajua kujenga hoja balaa
 
Ni kweli, anajua kuzungumza na hadhra, anajenga hoja ana mtiririko mzuri na ufahamu

Unaweza kutokubaliana na hoja zake, au itikadi zake za kisiasa, lakini utakubaliana kwamba ni ''Orator'' mzuri sana
 
Huyo mnayemwita "mbunge"! Nimeipenda
 
Back
Top Bottom