Huyu bint bado yupo? Long time sana, anajua kujenga hoja balaa25 March 2024
Muheza, Tanga
Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa
CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA
View: https://m.youtube.com/watch?v=23VjK8gouCg
Kamanda Yosefa Komba aitisha mkutano kuzungumza na wananchi wanaokabiliwa na changamoto nyingi ambazo hazifuatiliwi na mkurugezi wa wilaya wala mbunge wa sasa aliyeingia kupitia uchaguzi uliovurugwa 2020
Source : RAI TV
Huyu bint bado yupo? Long time sana, anajua kujenga hoja balaa
Huyo mnayemwita "mbunge"! NimeipendaNi kweli, anajua kuzungumza na hadhra, anajenga hoja ana mtiririko mzuri na ufahamu
Unaweza kutokubaliana na hoja zake, au itikadi zake za kisiasa, lakini utakubaliana kwamba ni ''Orator'' mzuri sana